Nandy na Maua Sama nani mkali?

Kwa bongo list yangu ni hii
Grace matata
Maua sama
Mwasiti
Ruby
Nandy
Rachel kizunguzungu( wa kipindi hicho)
Linah sanga







Tukirud kwenye topic
Maua sama ndo Bora kuliko Nandy ....coz anauwezo wa kutunga na kuimba while Nandy anajua kuimba tuu ...

Hapo kwa Grace Matata umenifanya niamini wewe ni mpenzi wa mziki mzuri.....sure Maua ni moto sana hajawahi kukosea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom