Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,704
- 5,479
Sikubaliani na weweNjama za wcb kumtoa mfalme wetu pale no1 trending
WCB tumeshajua hila zenusasa mfalme uchwara anaenda kuondolewa no1
Ngoma nzuri ila harmonize apunguze uandishi wa matusi anaimba matusi sana yani kuusikiliza na watu unaoheshimiana nao aibu
The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.