pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,645
- 14,804
Hongera yake mkuu
Maana Tanzania ndo nchi inayoongoza kwa kutumia social networks Africa nzima
Nakumbuka hata godfather alifunguliwa a/c ya insta na shetta na ndo alimfundisha kila kitu kuhusiana na hiyo
Congratulations baba tiffah
Africa n Tanzania standup Kidingi sumbai Kimbley mzurumie #peace n love kwnu
Last edited by a moderator: