Nana dolls

Status
Not open for further replies.
Ukishaizima unakimbia kama Usain Bolt! Mtu anakupa tahadhari kabisa ukijiweka ni kupokea invoices tu!
 
Hana cha ziada kuwashinda wale wa mtaani kwako.

Mimi naanza kupata shaka sana nini kinaendelea hapa.

Yani hapa unaweza kuta mwamba min -me kala kandarasi ya kumpigia chapuo binti upepo umuendee vyema biashara matangazo na watu wanajaa tu bila kutumia jicho la tatu la akili kumkichwa.

Wanatumia jicho la tatu la katikati ya miguu tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi hata simfahamu, ndipo kwanza namuona na kumsikia leo.

Unatafuta kasoro ya kijinga ili usijisikie mnyonge.

Wewe ni wale wa 'sizitaki mbivu hizi' mtu unaposhindwa kufikia kitu fulani kizuri, kubali tu hujafika standards hizo sio kuanza kukiponda ili kujifariji kwamba hakifai...
 
Bwashee, nahama hii bar nahisi kuna watu wananidukua 🀣🀣🀣
 
Hapana mkuu,

Nimeishi New York City for decades, nimeenda ma concert ya PDVSA na watoto wa ki Venezuela, nime party na Black Royalties sororities za Spelman, nime chill na real European princesses Riverdale na The Hamptons, nime crush Daughters of the Revolution in Georgetown.

Why am I even telling you these things, you don't even know what I am talking about.

Hao wanawake wenu waliojaa UTI nikisema sioni cha ajabu ni kwa sababu sioni cha ajabu.

Tunaishi maisha tofauti usione tunakutana JF tu ukafikiri tuko sawa.
 
Wewe kwanza hauko bar saa hizi na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana niko home.

Ngoja nitoa upwiri kwanza halafu kesho nitarudi kuangalia picha mrembo huyu ili nijue iwapo kinachofanya nimuone wa ajabu ni upwiri ama laa.
 
Aisee kumbe vitu vyako hivyo🀣🀣🀣🀣🀣,,,umelewa eeehπŸ™Œ
 
Hapana niko home.

Ngoja nitoa upwiri kwanza halafu kesho nitarudi kuangalia picha mrembo huyu ili nijue iwapo kinachofanya nimuone wa ajabu ni upwiri ama laa.
Hiko swali kulijibu vizuri inatakiwa umkamate mwenyewe, si ulimalize kwa kujichukulia sheria mkononi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…