Nan ana kibarua ada imenipga kabali

kelvnjohn

Member
Dec 12, 2018
34
17
Aisee wakubwa zangu natafuta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo halafu ada ni kubwa kiasi hata nikiacha chuo hiyo ada sitoipata. Nachukua Bachelor in shipping and logistic management pale Dar es salaam maritime institute(DMI) na nmesoma serikalini since naanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom