Namzimia shyrose

Namzimia shyrose

Zamani alikuwa akipatikana kwa urahisi Maryland Bar pande za Mwenge Dar.
 
Zamani alikuwa akipatikana kwa urahisi Maryland Bar pande za Mwenge Dar.
Hapo kwa red, hebu elaborate zaidi:biggrin1::biggrin1:! Huenda ikamsaidia ttozi bweka kufanya uamuzi sahihi.
 
"Namzimia shyrose"

Fafanua unamzimiaje......?
Kazi zake, alivyo yeye au unamzimiaje ila watu watoe comments zinazostahili!!!
 
namzimia ni mchapa kazi over the media screen na sote twamjua.............!!
 
iyo chakula ya chotara ya kiarabu ni chakula ya wakubwa na wasanii bwana, nyie mnamzimia mmetimiza vigezo? take away hiyo...
 
kijanaa unatabu...wewee,kuonaa jafarai kalelewaa,katemwaa na wewee unaonaa ni mtelezo unataka kubembeaa.hayaa banaa kilaa la herii kwenye maisha ya romeo na juliet
 
Take away ya wakubwa c mnacheck inavyojitahidi kujitangaza na kujisogeza kwa wateja wake? Biashara matangazo Bi Shyrose
 
Jitahidi uwe papa ule vitu mwanangu, si unajua mkono mtupu haulambwi.
 
kama vipi mtafute sugu atakuambia jinsi ya kumpata..
 
Mmhh makubwa haya...mama muuza ebu lete moja moto moja baridi kwa bibie hapo!
 
Back
Top Bottom