Namwombea Uteuzi Hoyce Temu

Namwombea Uteuzi Hoyce Temu

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Acha mizaha
Hoyce amekosa credibility ya kupata uteuzi wa Rais,baada ya mdogo wake wa tumbo moja kuwa mtukanaji maarufu mitandaoni
Labda ateuliwe kuongoza wasafi jogging club
 
Sasa mdogo wake anahusikaje humu! Yani uliulishwe matango pori ya mtandaoni ndo umchukie mdada wa watu.
Wapo wenye mapichapicha mitandaoni na wananyadhifa zao, mbona huwasemi?
 
Mh rais ikikupendeza mteue huyu Dada, ni tofauti na hao mademu wanaojiona star tz.
 
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.

Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
TUMESHAKUSIKIA
 
Hivi kwann watanzania tuna mentality kuwa mtu akiwa anafanya jambo fulani na kufanya vema basi tunaona atoke kule aje kuwa kiongozi?!

Kimei alikuwa CRDB bank, now kila mtu anataka apewe uwaziri wa fedha sababu anaonekana ni mtendaji mzuri!

Sasa huyu dada ndio hivyo mshaanza mpigia chapuo?!

Kila mtu ana sehemu yake ambayo ataweza kuonyesha uwezo wake.... Hoyce usingeweza mjua kama asingekuwa hapo katika hicho kipindi. Anaweza kwenda bungeni na asifanye lolote na ukashangaa kipindi chake kikadorora....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maombi yako yamejibiwa. Si kama upendavyo wewe, bali kama ilivyompendeza Mungu
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.

Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
 
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Kuna watu wamejaaliwa moyo wa hivyo, kwao furaha huja mtu mwingine anapofanikiwa au mwenye shida anapoondolewa shida, hongera sana mleta maada maana si wote wenye moyo huyo,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom