Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,295
73,839
Mavula:

Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?​

Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini

Ngongo

JF-Expert Member​

Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.

Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more?

Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........

SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

2. Hoyce Temu sijui
 
Ili kukuza siasa za Tanzania tunahitaji wanasiasa wanaochambua siasa zetu kwa weledi na hoja nzito na sio majungu.......hii ndio inafanya ionekane siasa za kiTanzania zinaendeshwa kwa misingi ya wivu na chuki.......turudi kwenye hoja za msingi.......
 
Ubalozini binafsi huwa nautafsiri kama sehemu ya kwenda kupumzika workouts yao huwa ni ndogo Sana,na mabalozi wengi wanashindwa kuleta wawekezaji ndani ya nchi kutokana na HATUNA STABLE PROGRAM JUU YA MWEKEZAJI,UKIZINGATIA MWENDAZAKE ALIISABABISHIA NCHI KIMATAIFA KUJULIKANA KAMA UNFORECASTED COUNTRY IN INVESTING,MAMA YETU ANAKAZI YA KUNYOOSHA MSTARI,HAITOSHI,KUWEPO NA SERA AMBAYO HAKUNA WA KUIBADILISHA KIPUUZIPUUZI.
 
Mimi naona swala la historia yake hatuhilitaji kujua sana ukijua wewe Gpa yake inatosha, Muhimu ameonyesha uwezo mkubwa kwa majukumu aliyopewa awali anastahili pongezi. Kama wengi wamefurahia uteuzi wake means kuna namna ameonyesha uwezo wake. Watu kama wewe Lazima mpasuke Roho
 
Hakuna wivu tunadadsi mambo. Wivu unatoka wapi tena. Kama una akili za udadisi ukisoma heading ya uteuzi wa mabalozi utajiuliza why hawa wawili wawe juu kabisa kwenye thread.. mdadisi utajiuliza na si wivu. Ndiyo faida ya JF kupata habari
Mtu umesha ambiwa alisoma high school na dada yake makamba then from there akawa ps wa membe kisha akawa mwandishi wa hotuba wa jk in 2004.

Ushambiwa pia baba yake alikuwa mtu mashuhuri...

Ushaambiwa pia alikuaa karibu na balozi sefue

Hapa katikati enz za mwenda zake akapotea ndio amerudishwa na mama....

Unataka nini tena????

Kutana na watu upate fursa. Sisi tuliopo huku vijijini tutasubiri fursa zetu za huku huku kjjn

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nimeandika udadisi wangu kwanini ametokea kwenye "font fedi" ya thread? Nikapata jibu na nikawahabarisha wengine kama wewe... is that wrong?
 
Ubalozini binafsi huwa nautafsiri kama sehemu ya kwenda kupumzika workouts yao huwa ni ndogo Sana,na mabalozi wengi wanashindwa kuleta wawekezaji ndani ya nchi kutokana na HATUNA STABLE PROGRAM JUU YA MWEKEZAJI,UKIZINGATIA MWENDAZAKE ALIISABABISHIA NCHI KIMATAIFA KUJULIKANA KAMA UNFORECASTED COUNTRY IN INVESTING,MAMA YETU ANAKAZI YA KUNYOOSHA MSTARI,HAITOSHI,KUWEPO NA SERA AMBAYO HAKUNA WA KUIBADILISHA KIPUUZIPUUZI.
Umenena vema lkn kwa nchi hizi zetu ambazo Rais ni Imperial President, kuwa na sera ya ya kudumu ni vigumu. Imperial Presidency ni tatizo kubwa. Rais anachagua kila mamlaka na bila kuulizwa. Afdhalli Kenya wameweka some limitation Rais kuchagua kila mtu.
 
Waswahili wanasema usipende kumfanyia binadamu mwenzako kitu usichopenda kufanyiwa. Enzi za mfalme herode ndio alionyesha ukabila dhahiri. Sekta nyingi kule juu juu utakuta wasukuma au watu wa kanda ya ziwa aliwabagua sana watu wa kanda nyingine. Ilikua hata ukipata kazi serikalini kama Kuna position ya juu boss wako lazima atamteua msukuma awe kiongozi kwa kujipendekeza kwa bwana herode. Alafu mkae mkijua chama kinawenyewe mfalme herode alipewa lift tu akawa anapiga na honi. Kwasasa wenye chama na wenye nchi yao wamerudi sasa mnaanza kupiga kelele hata miezi sita haijaisha, Bado sana mtapiga kelele mpaka makoo yakauke. Na Lile limekua ni funzo sizani kama watakuja kujichanganya kama ilivyotokea 2015.
 
Umenena vema lkn kwa nchi hizi zetu ambazo Rais ni Imperial President, kuwa na sera ya ya kudumu ni vigumu. Imperial Presidency ni tatizo kubwa. Rais anachagua kila mamlaka na bila kuulizwa. Afdhalli Kenya wameweka some limitation Rais kuchagua kila mtu.
Naomba utafsiri maana ya imperial president.
 
Alafu mkae mkijua chama kinawenyewe mfalme herode alipewa lift tu akawa anapiga na honi. Kwasasa wenye chama na wenye nchi yao wamerudi sasa mnaanza kupiga kelele hata miezi sita haijaisha, Bado sana mtapiga kelele mpaka makoo yakauke. Na Lile limekua ni funzo sizani kama watakuja kujichanganya kama ilivyotokea 2015.
Inawezekana mjanja JK ndio kamuondosha bwana Jiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom