Namwombea Uteuzi Hoyce Temu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,943
2,000
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.

Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,117
2,000
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza anaroho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
CV yake ndo imeishia hapo sio?
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
1,596
1,980
Akiteuliwa tu hicho kipindi kwisha habari yake! Sasa chaguo ni lako kipindi kiendelee au kife!?

Sent using kidole gumba
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,181
2,000
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.

Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
Siungi mkono hoja aachwe aendelee kufanya anachokifanya hii ya kuwapa nafasi ya kisiasa wanaofanya mazuri ni ujinga, mfano prof mzuri anayefundisha chuo eti anapewa ubunge na uwaziri, inabidi abaki afundishe azalishe waliobora zaidi.
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
1,596
1,980
Kiasili wengi wakishateuliwa wanaacha Yale yaliyofanya jamii iwafahamu na kufanya kupata huo uteuzi ingawa huo mfano uliotoa sioni kama unafanana na kazi anayoifanya huyo unaemuombea uteuzi!
Kwani Marehemu alipoteuliwa, kanisa lilikufa?!

Sent using kidole gumba
 
opondo

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
260
1,000
Wajomba Mimi nafikiri tofauti.

Swala la kushika vidonda sijui nini, kumbuka pale yupo mbele ya camera lazima afanye kila kitu, anatafuta sympath kwa watanzania ili tuweze kuchangia hao wenye matatizo.

Je umempima vipi kwenye Uongozi?, kumbuka hapa duniani kila mtu kapewa karama yake na Mungu sio kila mtu anaweza kua kiongozi. yeye kafit huko kwenye mambo yake anaweza asi fit (asifanye vizuri) kwenye jambo lingine.

Mimi mbele ya camera naweza ingia kwenye shimo la choo nikamuokoe mtu ili nionekane na roho nzuri n.k

Anaweza akateuliwa akaboronga mkaanza kumlaumu,
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
4,098
2,000
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.

Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.

Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.

Wako katika ujenzi wa taifa

KJ.
Kwanini usiwaombee dada zako wa tumbo moja kazi!!??
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
6,409
2,000
Ubinge wa viti maalum ili iweje?Achape kazi hapo alipo,akishateuliwa ataanza kuimba mapambio ya sifa hata hio kazi kwenye kipindi ndio itakuwa imefika mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom