Namwelewa Baba Levo kwenye issue ya uwanja

Mada za wanavijiji mliotok maporini huko mkiona azam au kmc complex mnaona ndiom uwanja wa kisasa
hivi mnajua hadhi ya uwanja wa kuandaa mashindano ya kimataifa kama CAF ?
Mnadhani kombe la mbuzi au ndondo cup kama mnavyofanya huko maporini
Halafu wewe mtoa mada unatokea vijiji vya wapi?
Umeleta ujinga gani wa kupigia dili za viingilio, huu ushamba umewazidi sasa

Yaani hutu tuviwanja nyie walugaluga ndio mnafikiri mtapewa muandae mashindano ya kimataifa ?

 
Ona hili zezeta, Yaani unafanya maandalizi ya Afcon inayotokea mara moja kwa miaka hamsini kwa hayo mabilioni badala ya kuwaandalia mazingura mazuri vijana huko mikoani ili waonekane. KMC hadhi yake ni ya kimataifa ila daraja lake linaishia mechi zaaandalizi ikiboreshwa kidogo tu inakuwa na hadhi ya kuhost Hadi robo fainali

Sjui hata umeandika ujinga gani, uchumi wetu ni mdogo ila locha ya udogo huo Bado hatuutumii kunufaisha umma
 
umejileta mbulula wa vijijini
unaelewa maana ya mashindano ya kimataifa zwazwa wewe
unadhani maharage cup ?
Unajua hela ambayo inaingizwa kwa nchi waandalizi kuaandaa haya mashindano au unadhani zinavyoshindana kupewa nafasi ya kuuanda ni kuuza sura? kweli wewe ni mlugaluga wa vjijijni
Hela itakayopatikana kwenye uchumi wa nchi ni inazidi mara kumi ya gharama za viwanja vyote kilaza wewe,
Nyinyi washamba wa vijijini mnatakiwa mbaki hukohuko maporini, sio mnashoboka na vitu hata hamna ufahamu navyo

 
Upigaji lazima uwepo lakini pesa kama hizo huwezi walaumu hao wakina Gerson Msigwa.

Wao kama wao na wizara yao hawana mabilioni hayo yaliyoongezeka wala mamlaka ya kuyatumia isipokuwa kwa idhini ya walio juu.

Jambo la pili kupiga hesabu za viingilio na kuwianisha na gharama za ujenzi si sahihi kwa sababu pale serikali haijalenga faida ya mfumo huo kwani serikali haifanyi biashara bali imetoa huduma kwa jamii.


By the way karibu nchi nzima ina shida kubwa sana ya maji,, kutumia bilioni 300+ kujenga uwanja wa mpira ni jambo la kusikitisha
 
Kwa hiyo akili zako zimeishia hapo, unajua uwekezaji wa Morocco ulikuwa kiasi gani, unajua GDP Yao ni kiasi gani ukilinganisha na sisi?? Hao wako kwenye mpango wa kuandaa kombe la dunia uchumi wao unaruhusu hawana shida ya maji, bandari duni, madawa mahospitalini, hawana njaa kama wewe hao sio walala hoi kama wewe hao sio developing country tayari ni developed. Hiyo Hela uliyozungushia ni ya maandalizi ya world cup ambayo hata ipite miaka 100 hatuwezi. Sisi ni makapuku tusilazimishe ****** kula muwa
 
Wewe mshamba wa vijijini
Hio hela waliopata kwani waliaandaa ndondo cup au afcon?
Kawaida nchi ikiwa inapanga mipango ya maendeleo si lazima kila kitu uwashirikishe masikini
China isingefika popote kama ingesikiliza masikini wake na hivyo kwa Morocco
Masikini walipiga kelele kama wewe lakini maendeleo kwanza

 
Wanasingizia vigezo vya CAF wakati hadi sasa uwanja wa Uhuru hauna vigezo, Mkapa miaka 6 haueleweki.
 
Sitetei serikali ila naomba niweke taarifa hizi zikae sawa.....
1. SIO KWELI KWAMBA UWANJA WA MKAPA ULIJENGWA NA SERIKALI YA TANZANIA KWA ASILIMIA 100...BALI KWA 40.78% TU.
Uwanja wa mkapa ulijengwa na kampuni ya Beijing construction engineering group kwa thamani ya dola milioni 56.4, Ambapo Tanzania ilitoa dola milioni 23 tu..huku China ikitoa dola 33.4 kama MSAADA wa urafiki kati ya hizo nchi mbili.
Na ndio maana Rais wa China wa kipindi hicho alikuja mwenyewe kuukabidhi serikalini mwaka 2009...
2. UWANJA WA MKAPA HAUKUJENGWA KWA BEI HALISI YA SOKO..CHINA ILITUPA DISCOUNT KUBWA KUPINDUKIA
Kama nilivyosema awali, mantiki ya ujenzi ule ulikuwa ni msaada zaidi kuliko commercial terms,
China haikutaka faida yeyote.. hata vifaa vingi viliingizwa nchini bila kutozwa kodi..Serikali ilitoa ardhi yake bure..China ilitumia cheap manpower kutoka magerezani kuja kujenga huku.
UUwanja huohuo ungejengwa na kampuni kutoka marekani au ulaya mwaka uleule, uwanja huu usinge-cost chini ya dola milioni 200.
3.VIWANJA VYA MPIRA NI KAMA MATOLEO YA SIMU...FIFA NA CAF WANATAKA STANDARDS ZA KISASA.
Wakati uwanja wa mkapa unajengwa mwaka 2005, mimi nilikuwa mtu mzima..
Nilikuwa natumia simu aina ya Simiens A65, mwaka huohuo kulikuwa matoleo kama A70, Nokia 3310, Nokia 3315
Motorola C115
Motorola V360
Sony Ericsson K700i nk.
Sasa na viwanja vya soka ni hivyohivyo.
FIFA na CaF wanahimiza yafuatayo:
A. Paa la kiwanja lifunike watazamaji wote.
B.Mfumo wa Taa za kisasa.
C.Camera 40+
D.Zahanati ndani ya kiwanja
E.Chumba maalumu cha kupima wachezaji wanatumia madawa ya kuongeza nguvu
F. Viwanja vya mazoezi pembeni
G.Maegesho 5000+
H.Internet ya kasi
I.Watu wa media
J. VVP na VP apartments
Niseme hivi kwa kumalizia,
338 B ni very fair kwa capacity ya watazamaji hao...fanyeni references hata huko kwingine....kwa kuzingatia standards za kileo.
Unless kama tujenge for domestic uses.
Viwanja vya kijima kama Jamhuri kirumba sokoine nk.
Kujenga uwanja hivyo ni sawa na kununua Nokia6600 leo 2026.
Mimi sio fan wa CCM lakini nimenyooka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…