Namuunga mkono Kigwangalla dhidi ya MO Dewji

MO akitaka kubaki salama, aunde club yake na aendelee kuwa shabiki wa Simba.
Timu ya Simba ina mashabiki wengi wenye madaraka Serikalini.
Haingii akilini MO akiingia uwanjani akashangiliwa kuliko Rais ambaye naye ni shabiki wa Simba.
Mtawala huwa hapendi mwanainchi wa kawaida kuwa maarufu kuliko yeye.
MO akianza kupingana na Kigwangala mwisho wa Siku ataanza kupingana na Majaliwa na kumalizia na MH. Magufuli.
Rais Mstaafu Kikwete alisema, hatutaki club inayomilikiwa na mtu moja.
Michezo ni burudani na tunataka kushangilia kilicho chetu na si cha mtu.
Msahafu unasema .
"Ole wake mtu yule amuaminiane mwanadamu kama kinga yake, mbinguni amelaaniwa"
Club ya Simba sasa inamuamini MO kama kinga yao, mbinguni wamelaaniwa.
Je kesho Mo kama hayupo Duniani club ya Simba itakuwa na hali gani?
Let us think beyond one year.
 
Umeandika bila skrini shoti utadhani kila mwana Jf yupo twita.
 
MO hatufai mfukuzeni mlete muwekezaji mwingine.
 
Yanga ikifungwa leo utasema ni sababu ya kampeni za siasa! Mkuu achana na siasa maana inaonekana imekuathiri sana. Kila kitu unahusisha na siasa...yaani hata chai hujanywa maana naamini uko Tz, ila umeamkia na ishu ya mo na kigwa na kuileta moja kwa moja kwenye siasa.
umekua mtumwa!
 
Hisa za MO na CCM wapi na wapi bwashee!!!
 
saa ingine waeza cheka kifala na kilofa pia
 
Watanzania tufanye kazi kwa bidii.. huu ni Kama ugonjwa unatunyemelea.. mtu akijikwaa CCM hiyoo.. Mtu akipita na baiskeli anatoka shamba kajichokea.. CCM hiyo.. Mtu akifanikiwa akanunua kagari kake akipita utasiki tu MaCCM hayo..

Ni Kama ukiwa Tanzania Hakuna kitu utafanya ukawa salama..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila kitu ukichukulie kisiasa mkuu, kuna maisha nje ya siasa lazima utambue ukweli huo.

Lissu kumshinda Magufuli mwenye kuimiliki dola yote ni ndoto za mchana wa jua kali.
 
Mbona mizozo ya hizi Club za Simba na Yanga huwa zipo tu hata kabla ya kampeni.
Kigwa anafikra za kumpaka matope Mo kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa Mo kwenye mambo yao binafsi(personal issues)
Unachotakiwa kujua ni kwamba CCM itashinda mapema sana uchaguzi huu kushinda chaguzi zilizopita.
 
Huyu Mwamedi bado hajaweka B20 mezani lakini kashaanza kuitumia club yetu anavyotaka yeye. Mimi binafsi ile siku alivyogeuza shughuli ya simba kuwa jukwaa la siasa aliniudhi sana.
Ujue siasa ni stress, watu tumekimbia stress tumekuja kwenye mpira kufurahi, then wewe unatuletea stress za siasa tena.

Hili la CEO ndio limeniacha hoi maana member mwenzetu Shark alishatuletea nyepesi kuhusu huyo CEO tangu mwezi uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…