Hahaha 😆Tumeshajua una gari, mengine ni nyongeza tyuuh.
Hujambo lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
kwani hiyo ni issue sasa mkuu? Mbona unateseka kiainaTumeshajua una gari, mengine ni nyongeza tyuuh.
Hujambo lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hatariiii [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha [emoji38]
Nawewe ni mume wa mtu TikTok unafuata nini🤣🤣🤣Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani
Malaya aliyebahatika kuingia kwenye taasisi ya ndoa,na hawa ndiyo wanaifanya hii taasisi ionekane haina maana.Huyo ni Malaya anajiuza.
Kabisa mkuuMalaya aliyebahatika kuingia kwenye taasisi ya ndoa,na hawa ndiyo wanaifanya hii taasisi ionekane haina maana.
Pia kuna umuhimu mkubwa wa vijana wanaotaka kuoa kuwashirikisha wakubwa zao wawasaidie jambo hili pia wale wanaokaza sana kuhusu suala la wanaume kuoa bikra waungwe mkono.
adultererKuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani
Sasa mkuu uongo wake na wako hapa una tofauti gan? Maana na wewe una id fakeKuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani
Mimi namuonea huruma mke wako.Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani
NakaziaMalaya aliyebahatika kuingia kwenye taasisi ya ndoa,na hawa ndiyo wanaifanya hii taasisi ionekane haina maana.
Pia kuna umuhimu mkubwa wa vijana wanaotaka kuoa kuwashirikisha wakubwa zao wawasaidie jambo hili,ukimuuliza mumewe huyu historia ya kukutana kwao atakwambia walikutana chuo au kazini which is hizi siyo sehemu sahihi za kukutana na mke pia wale wanaokaza sana kuhusu suala la wanaume kuoa bikra waungwe mkono.
Unaweza Kuta hata masela wengine wanaomzagamua mke wako wanakuonea huruma piaKuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani