Njoo veta pata ujuzi uupendao anzia hapo then fungua enterprise,Anza hata na ufundi bomba,then jitolee pale Dawasco from their ukiwa unafanya na Kazi zako binfsi,miradi ya maji itakuchukua,, commit yourself to God and everything will be like a b,c ....Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Sawa sawa mkuuUna nafasi yake sikatai ila kama mwanamke anaelewa hali yako na anakupenda wewe unapaswa kupambana kujiinua kiuchumi hali ikimshinda na akitaka kukimbizana na muda ataamua yeye mwenyewe na hatokuonea huruma.
Nimejaribu kujiajiri mara kadhaa lakini niliishia kufeli changamoto kubwa za kujiajiri zinazonikwamisha ni mtaji, kukosa uzoefu/ujuzi wa biashara, utunzaji wa hela na tatizo la kiafya(nina shida kidogo ya kusikia vizuri ni ngumu kuwa sharp kwenye biashara mfano kuwasiliana na watu kwa haraka, kutumia simu kwa mawasiliano n.k)Nikisema bado umefungwa na vyeti nitaomba tu unisamehe,
Bro maisha hayana kusubili ajora rasmi inawezekana ukawa unapoteza muda kutafuta kazi
Kaa tafakari tafuta ajira mbadala vyeti weka pembeni kwanza utakuja kunishukuru baadae
Usiogope maisha , chukua chombo weka ndani, Kama kakuvumilia kwa wakati huu hata mkiwa pamoja atakuvumilia tu
Usiogope maisha. Cha msingi tafuta ajira mbadala I mean jiajiri.
Afu nikwambie kitu ukioa Kuna matumizi mengi yanapungua
Mfano ilikuwa mwende guest tsh 15k na kuendelea zaidi ya Mara 3 na kuendelea kwa mwezi lakini sasa show zote mjengoni , hiyo hela unafanyia matumizi mengine
Ada ya kulipa nafikiri itakua changamoto na nafasi za kujitolea sasa hivi imekua kama kuomba kazi ya kuajiriwa yaani nazo zimekua na competition kubwa ila nitajaribu kufanyia kazi ushauri wako.Njoo veta pata ujuzi uupendao anzia hapo then fungua enterprise,Anza hata na ufundi bomba,then jitolee pale Dawasco from their ukiwa unafanya na Kazi zako binfsi,miradi ya maji itakuchukua,, commit yourself to God and everything will be like a b,c ....
-Kwanini uliingia kwenye mahusiano ilihali unajua vyema kuwa hauna kipato cha kuwa na mwanamke kwa muda mrefu.Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Nimekuelewa mkuu, ingawa sometimes nikimfikiria naumia sana why ameangukia kwangu. I feel like i don't deserve her. Ni juzi tu katoka kaniomba nimuongezee nauli aende kwao karatu kumuona mama ake anaumwa nimemwambia sina hela nikajaribu kuweka mkeka jana nipate hela ya kumpa nauli kuna timu ya bulgaria inaitwa Ludogorets ilichonifanyia nikaingia kulala na maumivu makubwa sanaUsiusemee moyo wake, usikute umewekeza akili kwenye comment za kina dada wa Jamii forum zile za "tafuta hela" humu wengi wameolewa na kina "SELE" wako wanajitafuta mdogo mdogo mwaka wa kumi wa ndoa ila wanalisongesha mmoja mmoja tu ndo wameangukia dodo na wako busy na miradi huko humu wanakuja kusoma soma weekend tu kwa hiyo ukijishtukia unampa shida na aliyekuamini akakupenda.
Wewe mueleze hali yako ilivyo ataelewa au anaelewa tayari akitaka kitu kama huna mwambie ukweli ! Pia muwe mnazungumzia hali zenu za uchumi sio kuchakatana na kusengenya wengine !
Najua kinachokupa tabu anakuuliza unamuoa lini ? [emoji23] Na hilo swali likiingia kichwani wewe picha unayopiga ni mahari na harusi gharama zake huku ukicheki muhuni huenda hata jana hujala mjibu hilo swali kulingana na hali yako na umweleze mipango yako kufikia hilo lengo kwa hiyo hata kama utakua unakwama anakua anaelewa kila kitu! Hivyo hivyo huwa wananuna ukijibu mambo bado ila kichwani huwa wanaelewa kabisa hali halisi na demu kama anakuelewa mradi vitu vidogo vidogo muhuni unasolve atasubiri tu !!
Usimkimbie mweleze na umuoneshe ukweli wa maisha yako yalivyo na una mikakati gani hapo mbeleni !
Yakimshinda ataondoka mwenyewe ila usiusemee moyo wake "eti uchumi sijui umekuchumu" mpaka unaanza kujishtukia yeye anajua na anaelewa.
Pamoja na hayo uliyoeleza usikubali kuishi kinyonge wala usiruhusu hofu ya kuachwa ikuandame. Bado una nafasi ya kuanza tena kwa upya na kuangalia wapi ulifeli ili usirudie tena makosa yale yale. Pia mshukuru Mungu kwa kukuletea mtu anayekupenda na kukujali bila kuangalia mapungufu uliyonayo.Nimejaribu kujiajiri mara kadhaa lakini niliishia kufeli changamoto kubwa za kujiajiri zinazonikwamisha ni mtaji, kukosa uzoefu/ujuzi wa biashara, utunzaji wa hela na tatizo la kiafya(nina shida kidogo ya kusikia vizuri ni ngumu kuwa sharp kwenye biashara mfano kuwasiliana na watu kwa haraka, kutumia simu kwa mawasiliano n.k)
Mahusiano ya kimapenzi ni hitaji la asili mkuu haichagui masikini wala tajiri-Kwanini uliingia kwenye mahusiano ilihali unajua vyema kuwa hauna kipato cha kuwa na mwanamke kwa muda mrefu.
-Ungeliweka tokea mwanzo kuwa hauhitaji mahisiano ya muda mrefu. Wewe ni chapa ilale mbele.
- Muda mwingine tunajitafutia mikosi laana kurogwa bure.
Mahusiano ya kimapenzi ni hitaji la asili mkuu haichagui masikini wala tajiri
Msaidie kile unachoweza , hata kama hakitimii anataka 50k wewe mpatie ile unayoweza kuipata hata kama elfu tano na umwambie ukweli ! Kwamba huna hiyo 50k ila nimeweza kupata hii hapa kiasi kidogo kinaweza kukusaidia anaweza kununa au kujisikia vibaya ila ataelewa !!Na siku umepata kikubwa basi mpe kweli. Mahusiano ndo yanavyokwenda haya formula na njia haijanyooka .Nimekuelewa mkuu, ingawa sometimes nikimfikiria naumia sana why ameangukia kwangu. I feel like i don't deserve her. Ni juzi tu katoka kaniomba nimuongezee nauli aende kwao karatu kumuona mama ake anaumwa nimemwambia sina hela nikajaribu kuweka mkeka jana nipate hela ya kumpa nauli kuna timu ya bulgaria inaitwa Ludogorets ilichonifanyia nikaingia kulala na maumivu makubwa sanaView attachment 2752293
Basi atakua na nyota ya kupendwa na masikini [emoji3][emoji3][emoji3]Je ukimuacha akaja kuolewa na kijana maskini zaidi yako itakuwaje mkuu?
Usiogope Maisha, yawezekana Milango ya Baraka haifunguki sababu ya kuchelewa Kuoa. Wewe Muoe huyo Binti.Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.

Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote
Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Oaneni. Uasherati na uzinzi ni uchafu.Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Mkuu sijamaanisha kwamba sijishughulishi na chochote. Sio kila mpambanaji anatoboa. Baada ya dhiki ni faraja lakini kuna wengine huwa hawaipati iyo faraja mpaka wanakufa na dhiki zao.Usiogope Maisha, yawezekana Milango ya Baraka haifunguki sababu ya kuchelewa Kuoa. Wewe Muoe huyo Binti.
Mwanaume usililie, wewe pambana usichangue kazi. Kijana unakuwa lenge lenge hivo broo.
Kuna dogo la mwaka 1999 lina mtoto mkubwa na halina Ajira (standard 7) lina Maisha na lina Familia.
Miaka 6 iliyopita ume graduate bado unalalamika Mkuu ??
Kwani yeye kakuambia kwamba unampotezea muda? Au umeamua tu kumsemea? Au umemchoka?Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Uchumi duni na mabadiliko ya kimaadili kwa watoto wa kike wa kizazi cha leo vinachangia kwa kiasi kubwa vijana kuogopa kuoaOaneni. Uasherati na uzinzi ni uchafu.