Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,168
- 33,649
Uza pumbu zako kama unapenda kuoa, unaogopa nini yumkini huna nguvu za kiume unaogopa nini kuoa?Nipo katika mahusiano na huyu binti wa kiiraqwi kwa miaka miwili na ziada sasa. Ki ukweli ananipenda na so far sijaona dalili zozote za kunisaliti.
Kinachonitatiza ni hali yangu kiuchumi. Sina ajira rasmi takribani miaka 6 sasa tangu nimehitimu chuo. Nahishi kwa kuungaunga tu na wala sioni dalili yoyote ya mambo yangu kutulia miaka ya hapa karibuni.
Ni binti anaevutia na anani-push sana tuishi pamoja yaani yale mahusiano rasmi. Kiukweli nampenda lakini nahisi nampotezea muda. Muda wote ambao yupo nami ambae bado nayumba kiuchumi angeweza kumpata mwanaume mwenye uwezo kiuchumi wakaishi pamoja.
Nataka nimuache ila nafsi inanisuta kwa sababu hajanikosea chochote.
Nasota kupata ajira tangu sijawa nae katika mahusiano.KAA CHINI JIFANYIE TATHMINI PENGINE UMEATHIRIKIA KISAIKOLOJIA, KAMA BINTI WA WATU KAKAA NA WEWE MIAKA MIWILI NA UNAONA HAJAWAHI KUKUSALITI MZEE HUYO NDO WA KWAKO, UNAONEKANA WEWE NDO UNA TATIZO NA PENGINE MUNGU AKUFUNGULII RIZKI YA AJIRA KWAKUA UKIIPATA TU HUYO MUIRAQ UTAMTEMA, KAMA HAUMUHITAJI MUWEKE WAZI SIO USEME HAUNA KAZI UJIFANYE UNAMUONEA HURUMA KUMBE USHAMCHOKA.
Niachie mimi mkuu wakati ukiendelea kutafuta ajira, ukipata nakurudishia
Mkuu unaweza kutumia lugha nzuri na ukaeleweka. Kuoa sio jambo la kukimbilia kama haupo stable kiuchumi.Uza pumbu zako kama unapenda kuoa, unaogopa nini yumkini huna nguvu za kiume unaogopa nini kuoa?
Vijana na vijimambo.ila sisi wanaume bana,
tusipopendwa tunalalamika, tukipendwa tunaanza kujiogopa
hatujui tunachokitaka
jiamini mkuu, huyo amekupenda jinsi ulivyo, ukimuacha utakuja kujuta
kakupenda pamoja na kufulia kwako, kapenda boga na ua lake....
Najua lazima nitajuta na nishajiandaa kisaikolojia lakini iyo ni kwa upande wangu vipi kuhusu yeye mkuu, huoni kama nampotezea mudaila sisi wanaume bana,
tusipopendwa tunalalamika, tukipendwa tunaanza kujiogopa
hatujui tunachokitaka
jiamini mkuu, huyo amekupenda jinsi ulivyo, ukimuacha utakuja kujuta
kakupenda pamoja na kufulia kwako, kapenda boga na ua lake....
Ni bora kutoa ushauri kulingana na mada kuliko kuja na assumptions zako binafsi.Huruma? Humuachi sababu unampenda na kumuonea Huruma, unamuacha sababu humtaki.
ngoja wajuvi waje sina hata uzoefu nimetoa ushauri wa jumla😂Najua lazima nitajuta na nishajiandaa kisaikolojia lakini iyo ni kwa upande wangu vipi kuhusu yeye mkuu, huoni kama nampotezea muda
Ni bora kutoa ushauri kulingana na mada kuliko kuja na assumptions zako binafsi.
Sawa mkuuHakuna assumption, usitufanye watoto wadogo, eti umepata mwanamke, unampenda, unamuacha umkabidhi kwa mwanaume mwenye pesa? Ujinga na uzandiki huu.
Una akili sana mkuuila sisi wanaume bana,
tusipopendwa tunalalamika, tukipendwa tunaanza kujiogopa
hatujui tunachokitaka
jiamini mkuu, huyo amekupenda jinsi ulivyo, ukimuacha utakuja kujuta
kakupenda pamoja na kufulia kwako, kapenda boga na ua lake....
Sema chochote kulingana na mada husika usitumie hisia kuja na assumptions binafsi maana sio mara zote hisia zitakuambia ukweli. Mada inajieleza. Nampenda ila nahisi nampotezea muda kwa sababu sioni dalili za kuwa sawa kiuchumi hapa karibuni ili tuweze kuishi pamoja kama anavyotarajiaHumpendi huyo dada bora tu umwambie usimpotezee muda.
Mwanaume kuyumba kiuchumi kunaambatana na frustrations nyingi sana. Wanaocomment negativity wengi hawaijui iyo haliMjukuu ungesubiri ukue kwanza.