Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu mwaka huu namuona MPINA anashinda URAIS octoba 29,2025 nawaona wana CCM wengi watakwenda kumpa KURA MPINA kuwa RAIS ,
Nb:CCM yangu ina nafasi ya kujirekibisha ,vinginevyo Kiti cha Urais kinaweza kwenda upinzani kwa mara ya kwanza SITE wananchi wana malalamiko mengi,tunachopaswa kujua kundi la kina RA alipigi kura ,MREMA alitokosa kosa,Dr Slaa alitukosa kosa,Lowasa alitokosa kosa ,,,,sizani kama MPINA atafanya kosa ilo tena ...
UTAKI UNAACHA,TUKUTANE OCTOBA