Namuombea msaada mlemavu aitwaye ndugu Erneus Athanas

Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa nasoma Mbeya chuo fulani. Siku moja akaja jamaa mmoja bubu na ''anaongea'' kwa kuandika kwenye karatasi. Akatumbia yeye ni yatima anakenda chuo cha viziwi na alipokuwa njia ameibiwa vitu vyote. Wanachuo wakahurumia na kuchangia fedha ya nauli na kununulia mahitaji mengine. La haula... jioni moja tukamkuta klabu ya pombe ananywesha mademu. Wala sio bubu! I hope na wewe hufanyi utapeli.... Na ingekuwa vizuri sana ukatafuta njia ya kuaminisha watu kuwa wanamsaidia mtu anayehitaji msaada kweli kweli na si utapeli!
Uliyosema ni kweli kabisa ndugu ýangu watu wa hivyo wapo,ila huyu watu wengi wa Mbeya mjini wanamjua kwa jina maarufu la Mhagama ni mlemavu na hata ukitaka kuonana nae anapatikana. Ndiyo maana nimeweka namba zake ili mtu akitaka kuonana nae aweze kumtafuta na kumpata na asiwepo mtu katikati wa kumuunganisha yeye na mtoa msaada. Imani yangu siku zote huwa NI LAANA KUBWA KUTUMIA HELA YA MTU ALIYOITOA KWA AJILI YA MSAADA NA KUGUSWA NA JAMBO NA KULITUMIA KINYUME MAANA MWINGINE AMEJINYIMA ILI TU ATOE
 
Nakubaliana na wewe mkuu!
 
Namfahamu vyema huyu ndugu,anway nadhani haina haja ya kupewa bajaji ya kumpeleka nyumbani na kupewa mtaji kwa pamoja. BAJAJ tu tayari ni mtaji kwake,aifanyr kama moja ya kazi zake,then hata sa1 akaipaki
 
Well said
 
Uliyosema ni kweli kabisa ndugu ýangu watu wa hivyo wapo,ila huyu watu wengi wa Mbeya mjini wanamjua kwa jina maarufu la Mhagama ni mlemavu na hata ukitaka kuonana nae anapatikana. Ndiyo maana nimeweka namba zake ili mtu akitaka kuonana nae aweze kumtafuta na kumpata na asiwepo mtu katikati wa kumuunganisha yeye na mtoa msaada. Imani yangu siku zote huwa NI LAANA KUBWA KUTUMIA HELA YA MTU ALIYOITOA KWA AJILI YA MSAADA NA KUGUSWA NA JAMBO NA KULITUMIA KINYUME MAANA MWINGINE AMEJINYIMA ILI TU ATOE
Namfahamu huyu kaka ,Amekua mtu mzima sasa Mungu amsaidie aweze kufanikiwa katika hili,nitajitahidi nimchangie.Asante kwa kushirikisha jambo hili ubarikiwe[emoji120]
 
Namfahamu huyu mzee ,toka kipindi nasoma A level pale Meta ila mara ya mwisho nilimuona mitaa ya karibu na ofisi za RPC mbeya anakibaanda cha kushona viatu ni mzee social sana. Ki ukweli anahitaji msaada amekuwa akijishughulisha na maisha yake ni ya taabu.Inshaalah walioguswa pamoja nami tumchangie bwana Mhagama
 
Namfahamu huyu mzee ,toka kipindi nasoma A level pale Meta ila mara ya mwisho nilimuona mitaa ya karibu na ofisi za RPC mbeya anakibaanda cha kushona viatu ni mzee social sana. Ki ukweli anahitaji msaada amekuwa akijishughulisha na maisha yake ni ya taabu.Inshaalah walioguswa pamoja nami timchangie bwana Mhagama
Bado yupo mitaa ile
 
Back
Top Bottom