Namuombaje mtaji?

Status
Not open for further replies.

suzie _barbie

JF-Expert Member
May 2, 2017
1,496
3,003
Hello everyone..
Niko kwenye distant relationship with one of the richest men in Mwanza, huwa anakuja mara moja moja Dar may be mara mbili kwa mwezi and relationship yetu siyo serious kiivyo tunaulizana if everyone is OK basi and less talks.

Akija huwa ananipa cash but nataka kumuomba hela ya mtaji, sijazoea kuomba please help me how can I figure this out..I believe he will help but naanzaje au nifanyaje fanyaje..please I need only matured advice.No insults please.
 
Unataka omba mtaji mama mbona simple

Siku akija dar wee jiongezee tuu mpe papupichi jitume kadri uwezavyo nyonga iyo kiuno mpk ikatike alaf uwanze tiririka shida zako alafu uwone kama hakupi

Akikunyima niambie mimi ntakupa
 
Kuna watu in principal hawapend kuombwa hela, Jiulize hzo hela anazokupa huwa unamuomba au anatoa mwenyewe unaweza kuwa na good intention ila sasa ukaharibu
 
Me kabla ya kukwambia uombe au usiombe,niambie kiwango cha fedha ambacho alishawahi kukupa kwa pamoja ambacho unaamini ni kikubwa kuliko alivyo wahi kutoa.ukijibu na kwambia cha kufanya
 
Ina mana kwako pesa ya mtaji ni billion ngapi kwanini hizo anazokupa zisiwe ndio Mtaji?? .. Tatzo wabongo neno mtaji ni mamilioni ya pesa
 
Kama hujazoea kuomba kama mm kazi unayo unaweza umuombe iwe ndo tiketi ya kukuacha.

Nimegundua mawili

1. Umpendi maana wanawake hatunaga ubavu wa kumwomba mwanaume unaempenda. Binafisi sijawahi.

2, ni mme wa mtu so huna mpango nae,

ushauri: kama ni mme wa mtu na ulikuwa unatafuta jinsi ya kumwacha imekosa sema asante mungu... Akija dar wala usione shida kumwambia sema baby naomba mil 5 kuna ka biashara nataka kuanzisha afu msikilizie.

Note usimpigie simu kumwambia hilo swala subiri aje. Na kama sio mme wa mtu moyoni umpendi wala yeye hana mipango na wewe shoga mwambie akishindwa atakua kajiondoa mwenyewe.

Cha bure mjini ni umbea tuu.
 
Namfahamu tajiri mmoja Mwanza ana date watoto wakali kuwapeleka kwenye hoteli za kifahari (nyingi ni za rafiki zake ama ana share zake) totoz zikifika zinaambulia soda tu kwisha. Sasa wame m nick name mzee wa visoda, ni mbahili balaa. Jaribu lakini uwe tayari kuachwa ama kupata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom