maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,278
- 5,519
Pole mkuu...sijui kwann nashangaa na kuhisi kuwa we si mchaga...kule uchagani hii ni kawaida kabisa.wakuu nina tatizo nimekaa nalo muda mrefu sana moyoni mwangu'
tumezaliwa wanne kwenye familia yetu'
sisi ni wachaga na tumekulia na kulelewa na kusoma uchagani'
lakini kwa kadri tulivyokuwa tunaendelea na maisha niligundua mama yangu mzazi anamthamini mtoto mwenye mali peke yake'
baada ya kugundua hilo niliamua kunyamaza kimya japo nilikuwa na uchungu moyoni'
lakini hicho kitendo kilijidhiirisha hata kwa watu wanaotufahamu kijijini kwetu na ilileta matatizo makubwa'
kwa kweli kutoka moyoni mwangu nimejikuta simpendi kabisa mama yangu lakini bado namweshimu kama mzazi wangu'
nikienda nyumbani mara moja kwa mwaka sijisikii kabisa hata kukaa naye hata kwa dakika 10 inakuwa ngumu sana,
niliumia sana kwa kuwa mimi ndiye maskini kabisa na ndiye ambaye sipewi heshima kabisa
naombeni kujua kama kuna mtu mwenye matatizo kama haya na naombeni kujua kama kunaweza kutokea matatizo yoyote katika maisha yangu kwa hilo
nawakilisha.
Pole mkuu...sijui kwann nashangaa na kuhisi kuwa we si mchaga...kule uchagani hii ni kawaida kabisa.
Maswali ya hovyio uwa na majibu ya hovyio,inaonyesha hata baba yako alipendewa ela.All in all pambana upate ela utapendwa tuwakuu nina tatizo nimekaa nalo muda mrefu sana moyoni mwangu'
tumezaliwa wanne kwenye familia yetu'
sisi ni wachaga na tumekulia na kulelewa na kusoma uchagani'
lakini kwa kadri tulivyokuwa tunaendelea na maisha niligundua mama yangu mzazi anamthamini mtoto mwenye mali peke yake'
baada ya kugundua hilo niliamua kunyamaza kimya japo nilikuwa na uchungu moyoni'
lakini hicho kitendo kilijidhiirisha hata kwa watu wanaotufahamu kijijini kwetu na ilileta matatizo makubwa'
kwa kweli kutoka moyoni mwangu nimejikuta simpendi kabisa mama yangu lakini bado namweshimu kama mzazi wangu'
nikienda nyumbani mara moja kwa mwaka sijisikii kabisa hata kukaa naye hata kwa dakika 10 inakuwa ngumu sana,
niliumia sana kwa kuwa mimi ndiye maskini kabisa na ndiye ambaye sipewi heshima kabisa
naombeni kujua kama kuna mtu mwenye matatizo kama haya na naombeni kujua kama kunaweza kutokea matatizo yoyote katika maisha yangu kwa hilo
nawakilisha.
Na mimi nakubaliana na maneno ya wahenga kuwa hilo kabila wengi wana roho za kipalestina. I wish angekuziba pua zako kwa manyonyo yake wakati uko kachanga ndo ingekuwa suluhu ya upuuzi wako.[/QUOTE]
Mungu na akusamehe ndugu yangu, nadhani yeye mwenyewe anaichukia hiyo hali ya kutompenda mama yake ndio maana ameirusha hapa ili umshauri, punguza ukali wa maneno kidogo na umsaidie ili awe na upendo na mama yake
Kwa hiyo kama mama yake ni mmachame asisema kwa sababu tu kuna watu watakasirika??!!!!!!!!!!!nina wasiwasi umekusudia ku-insult kabila la watu kwa kumtumia mama yako kama excuse...
mkuu baba yangu hakuwa tajiri,tuliishi maisha ya kawaida kabisa,lakini waliweza kutulea
kwa kweli jambo la kusema tulazimishe kupata mali mimi nipo kinyume kabisa
naishi maisha ya kawaida nina nyumba,kazi na kausafiri,na nina watoto wangu wazuri sana
jamani nifanye nini mimi ili niheshimike?
mkuu hata mie mchaga
kwanza hata siendagi moshi kwa sababu sina hela
acha wakae na roho zao za kupenda pesa kuliko jambo lolote
nimetulia na muhehe wangu tunakula maisha,niwe na pesa nisiwe nazo bado napata heshima kutoka kwake
kwanza sitaki demu wa kichaga