Namuelewa sana huyu Binti Tuerny

Namuelewa sana huyu Binti Tuerny

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Haka katoto nlikuwa najua ni cha Kwa Trump kule kutokana na swaga zake

Hee kumbe mtoto kakulia magomeni lakini ana balaa sio mchezo

https://instagram.fdar3-1.fna.fbcdn..._n.mp4?_nc_ht=instagram.fdar3-1.fna.fbcdn.net

tuerny-20181219-0002.jpeg


tuerny-20181219-0003.jpeg


tuerny-20181219-0001.jpeg
 
Huyo akiniomba pesa nampa asilimia 25 kwanza. Nyingine nitakuwa nampa kila wiki hadi miezi sita.

Endapo akiniacha basi familia yake itachukua kiasi kilichobaki kwa mwaka mmoja.
[emoji23]
 
Huyo akiniomba pesa nampa asilimia 25 kwanza. Nyingine nitakuwa nampa kila wiki hadi miezi sita.

Endapo akiniacha basi familia yake itachukua kiasi kilichobaki kwa mwaka mmoja.
Hahaha...sasa si umpe zote yeye awe anazipangia majukumu mkuu?
 
Huyo akiniomba pesa nampa asilimia 25 kwanza. Nyingine nitakuwa nampa kila wiki hadi miezi sita.

Endapo akiniacha basi familia yake itachukua kiasi kilichobaki kwa mwaka mmoja.
Umeshindikana mkuu Viatu vya Samaki hadi aliyetunga hiyo sera ya 25% huko alipo anacheka tu kwa kikokotoo chako kwa huyo manzi 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom