Namuacha shemeji yenu!

Si ana six pack,mrefu alafu Mweusi?hela unataka za nini?atatumia zako,pambana Dada πŸ˜€
 
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
Kwani si ana six pack?mrefu na Mweusi?mnataka hela tena?

Mtalimia meno
 
We Fanya vile nafsi yako inaridhia maisha ndio haya haya
 
Unampa k??
 
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Mtumie link ya huu uzi...halafu muoneshe hiki kipande
 
Sijui kama anajishughulisha au laaa!

Lkn kama ni mtafutaji mzuri ila unamuacha Kwa sasa kwa sababu mambo yake hayajakaaa sawa unakosea sana ni suala la mda mambo yatakaaa sawa lkn kama ni mlamba lipsi wa tik tok πŸ€”πŸ€”Sina la kusema
 
Wa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendezi
Kuna wengine mambo yanakua magumu sio kwamba hana lkn unakuta ana upungufu mwingi kuna rafiki yangu alikua analipwa 776K ila akipokea tu simu za madogo shuleni, mama plus makato n.k baada ya wiki ni miayo tu
 
Si ulikuwa unataka mkaka mrefu mweusi, mwenye six packs na vindevu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] komaa.
Hawa wafupi wenye vitambi ndo wana hela[emoji1787][emoji1787] Afu sio wachoyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyieee kuna mtu nimemkumbuka wooi.
 
Umtengeneze mume wa maisha what? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unajitutumua kuliwezesha janaume kiuchumi likipata maokoto linaenda kuoa mtu mwingine.
Tafuteni pesa acheni longolongo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah ila kiumbe cha kike ni wabinafsi sana , kama siyo nyege zetu na kutupa ku.ma zenu kwakweli sijui ni kitu gani kingetufanya tuwajali aseeeh maana mpo selfish mno
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah ila kiumbe cha kike ni wabinafsi sana , kama siyo nyege zetu na kutupa ku.ma zenu na miku.ndu kwakweli sijui ni kitu gani kingetufanya tuwajali aseeeh maana mpo selfish mno
VP apo Italy wanawake wako kama Hawa wa kibongo au?? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mnapendana kwa dhati?
If yes
Embu jaribu kumtengeneza awe vile unataka!
 
Biashara ya kujiuza imehamia majumbani na sio kwenye madanguro. Wewe ni changudoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…