Namtamani bosi wangu

Labda bado hujamla mama mchungaji, ni watamu halafu wanajua sana kujificha......kabla ya kufanya naye uzinzi anashusha kwanza maombi halafu wakati unamchakata anaweka muziki wa dini ,we acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo HR hafanyi kazi wizara ya maji kweli, mikoa ya kusini?[emoji23]
 
Fanya kazi mkuu acha kuleta mapenzi unajua athari mbaya "Ufanisi wa kazi utashuka na pia heshima itapotea."Ni hayo tu Armando wa Mabibo.
 
Hauna hela hizo hisia za mapenzi unatoa wapi
 
Akili huna ,,naona hata kuandika hujui, zoba kama zoba wengine tuu.,[emoji23]
Nyie ni watu wabaya syna🤣🤣🤣🤣
Mwacheni kijana ajaribu bahati yake ashinde au afe kishujaa😂😂
 
Wacha uoga dogo

Kumtongoza mwanamke sio jinai, huwezi fukuzwa kazi
Tegemea majibu mawili kukubaliwa na kukataliwa
 
Acha roho mbaya....
 
Uwoga wako ndiyo umasikini wako... Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Acha upumbavu kijana. Ndo maana wanaume ni dhifu sana siku hizi. Mwanamke kakuzidi hela unabwabwaja. Kama we mwanaume mtokee kweli bila kujali nini kitatokea. Ila we mwenyewe unajua una mapungufu (huna hele mzee baba) ndo maana unaweweseka.
Daah
 
achana na wanawake watakumalizia nguvu zako za kiume, za kimwili, za kifedha na kiroho. In short watakunyonya ubaki kama mfupa wa panya. Cha msingi KUBALI MAPUNGUFU YAKO, RAHISISHA MAHITAJI YAKO, ONGEZA KIPATO CHAKO NA UCHUNGE TAMAA MBAYA!!!!!
 
Ndo maana huna hela. kichwani zero
 
Unaambiwa usichezee kazi, chezea mshahara. Kama boss wako ndo hawa hawa wakina Kajala Masanja, kazi unayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…