Namtamani bosi wangu

Muandikie barua!...itamfikia tuu kaza moyo mkuu!
 
Kwa hiyo mwanetu uko kwenye probation na tayari unataka kumtokea boss wako??🤣🤣🙌

Sema hao ma HR wa kike ni chakula cha maboss. Mwenye kisu kikali sikuzote ndo hula nyama
 
kwenye mada wapi kasema huyo dada kaolewa
 
Kwanza tambua kila mtu anauwezo wa kupiga machine dogo tena sana hata zaidi yako

Hisia zako peleka kwa watoto wenzio kuna wakati kubali kwamba hill liko njee ya uwezo wako
 
Punguza hasira dada Maria Nyedestse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Maria usalama upo?
 
Akili huna ,,naona hata kuandika hujui, zoba kama zoba wengine tuu.,[emoji23]
 
Hahahahah ,ila nyie dunia inamambo,hahaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Kweli watu wana usingizihii comment ya 40 na watu hawajaona Kama unataka kujiripua🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…