winderboy
Member
- Mar 8, 2022
- 36
- 27
Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu una unene wa kuvutia ila pisi kali kweli kweli yaani ni mdada wa ukweli hasa.
Siku nilioanza kazi tu nilikuwa naye ofisini akinipa majukumu yangu ya kazi nilimtamani kweli kweli hadi leo,ila nashindwa kumwambia nahofia kibarua changu kitaota nyasi maana sijui atapokea vipi voko zangu nimebaki kumtumbulia macho tu ya wizi wizi afu sina ela ya kumuonga maana hapa mimi ni kibarua tu ila huyo mdada yupo poa TU.
Wakuu nipeni mbinu za kujiripua nimtokee vipi kama upo umu tambua unapendwa sana mfanya kaz wako ila mimi nimeoa nina uwezo wa kupiga mashine kweli kweli na hautoniacha maana mimi ni fundi nakupenda sana ila nashindwa kukwambia afu sina ela