Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
- Thread starter
-
- #101
mimi agano langu kipindi nimekatwa govi ndipo nilifanya agano na ardhi yeye ndo anatakiwa afanye agano nami na kalifanya hiloAgano la ndoa ulishalikosea, ungekua nawe bikra ndo ungesema umefunga agano, lakini sababu wewe ulikua used, bas usijifurahishe kwa hlo
Hujui unachokiongea. Umekariri badala ya kuelewa, nahisi umenilinganisha na uliowapitia.mimi agano langu kipindi nimekatwa govi ndipo nilifanya agano na ardhi yeye ndo anatakiwa afanye agano nami na kalifanya hilo
BIKRA NI MWANAMKE jitunzeni shida yenu mnataka kujiweka sawa na mwanaume tambuaeni mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanamme ni mwanamme tu TUNZENI K ZENU MUONE RAHA YA NDOA
Mimi nilizini nikitafuta bikra nilipopata nimetuliaa shida ipo kwenu mkizini tu na wanaume wengi hamtulii nyie mnadanganyika kiurahisi sana na wengi mnashindwa kusahau wale waliowapitia hata ukionana nae unamgawia tuNi kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.
Mimi nilizini nikitafuta bikra nilipopata nimetuliaa shida ipo kwenu mkizini tu na wanaume wengi hamtulii nyie mnadanganyika kiurahisi sana na wengi mnashindwa kusahau wale waliowapitia hata ukionana nae unamgawia tuNi kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.
Kwahyo ww n Dalal wa Bikra au........?
Heeee, we kijana! Jisitiri.Mimi nilizini nikitafuta bikra nilipopata nimetuliaa shida ipo kwenu mkizini tu na wanaume wengi hamtulii nyie mnadanganyika kiurahisi sana na wengi mnashindwa kusahau wale waliowapitia hata ukionana nae unamgawia tu
UTHAMINI MWILI WAKO DAIMA HAPO UTAWEZA KUHESHIMU NDOA YAKO
Nisingejua ninachoongea nisingekujibu kama umeolewa na bikra lete maswali huna bikra na huenda hata ndoa huna kipi utaweza kukijibu ndugu yangu si kila kitu lazima upost pita pembeniHujui unachokiongea. Umekariri badala ya kuelewa, nahisi umenilinganisha na uliowapitia.
Hata kichaa huwa anajibu lakini hajui kajibu nn. Na siku zote ukimwambia yy n kichaa atakubishia sababu ana uwezo wa kujibu.Nisingejua ninachoongea nisingekujibu kama umeolewa na bikra lete maswali huna bikra na huenda hata ndoa huna kipi utaweza kukijibu ndugu yangu si kila kitu lazima upost pita pembeni
KUJITUNZA NDIKO KUJISITIRIHeeee, we kijana! Jisitiri.
Ko katika hapo kipi kinauma ndugu yangu Kukwambia bikra na umuhimu wake rejea andiko acha kupotoka kiimaniHata kichaa huwa anajibu lakini hajui kajibu nn. Na siku zote ukimwambia yy n kichaa atakubishia sababu ana uwezo wa kujibu.
Namaanisha jisitiri kwa maneno yako, si nguo. After all mbona hunifahamu? Ya nini kuhangaika nami ikiwa hujui nina bikra, nina ndoa au sina? Kaa umtunze mkeo kaka.KUJITUNZA NDIKO KUJISITIRI
utajali vipi nje ya mwili ili hali mwili wako unashikwa ovyo? lete neno lako kama upo kwenye ndoa na bikra yako wengi mmepiga sana mechi za mchangani NDOA ZINAENDA BORA LIENDE TU ukichelewa kidogo tu mume ana mawazo maana anakufahamu hukawii kugawa nje
TUNZA NDOA YAKO DAIMA NA MUNGU ATAKUWA NANYI nashangaa wengi kuoa bila bikra linaonekana jambo zuri tuache kuendekeza mabaya kwa kuyasafisha kilazima
Ungesoma posts zangu ungenielewa, ungekua na imani ungeomba kwa Mungu akupe bikra kuliko kuendelea kuwafanya wake za wenzako mashimo ya madini.Ko katika hapo kipi kinauma ndugu yangu Kukwambia bikra na umuhimu wake rejea andiko acha kupotoka kiimani
jipe matumain tu mkuu... wanawake c wa kuaminiwa hvyo...Wewe naamini haupo katika ndoa ungekuwa kwenye ndoa ungejua thamani ya kupata mke bikra unamuanzisha mwenyewe
huyo kuchepuka kwake ujue wewe mwanaume ndo chanzo TAFUTENI BIKRA NA MKIZIPATA MSIZIHARIBU bila hivyo supu ya pweza inakuhusu
rafiki yangu apate raha ya ndoa sio kuoa mke asiye wake katinduliwa zamaniiiiiiiiiiiiiiii
Namaanisha jisitiri kwa maneno yako, si nguo. After all mbona hunifahamu? Ya nini kuhangaika nami ikiwa hujui nina bikra, nina ndoa au sina? Kaa umtunze mkeo kaka.
Ni kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.
Duuuh kumbe upo kuota mkuu mimi ndie mleta maada nina bikra ndani kwangu namshukuru Mungu katika hilo maana ni adimu hasa kizazi chenu watu kama nyinyiUngesoma posts zangu ungenielewa, ungekua na imani ungeomba kwa Mungu akupe bikra kuliko kuendelea kuwafanya wake za wenzako mashimo ya madini.
Agano la ndoa linafanywa pale wote mkiwa Safi, sio mwanamke tu hupaswa kuwa bikra, ni wote kaka'ngu. Kama na hapa hujaelewa, usiku mwema.
BILA BIKRA KWELI USIWAAMINI MKUUjipe matumain tu mkuu... wanawake c wa kuaminiwa hvyo...
Sinaga kawaida ya kujibu upumbavu, lakini kauli zako zimenilazimisha. By the way nina maadili yangu, whether Virgin or not, u r unconcerned.Duuuh kumbe upo kuota mkuu mimi ndie mleta maada nina bikra ndani kwangu namshukuru Mungu katika hilo maana ni adimu hasa kizazi chenu watu kama nyinyi
iMANI HABA NA KUJITAMBUA NI SHIDA haiwezekani kwa akili za mtu mzima ujione mjanja kuruka ruka nje je maandiko yanasema hivyo?
UKIMALIZA KUSOMA KUMBUKA RAFIKI YANGU ANAHITAJI FURAHA PIA