Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Kwahio unafikiria mie wa raskazone au?Ha ha ha!!! unajua nimeishi nao sana...wengi walikuwa ndugu zangu na marafiki zangu....kuna wakti nilikua naishi Raskazone (Tanga) kukawa na family friend wenye asili ya ushombe...maashallah sasa hao mabinti lol walikuwa hatari tupu mwenyewe nilikua naishia kuwaita wachumba tu!!!
Kwahio unafikiria mie wa raskazone au?
Kwani maswali yanatoka wapi ha ha ha lol!hili swali umelitoa wapi tena nawe??
Kwani maswali yanatoka wapi ha ha ha lol!
Ha ha ha!!! unajua nimeishi nao sana...wengi walikuwa ndugu zangu na marafiki zangu....kuna wakti nilikua naishi Raskazone (Tanga) kukawa na family friend wenye asili ya ushombe...maashallah sasa hao mabinti lol walikuwa hatari tupu mwenyewe nilikua naishia kuwaita wachumba tu!!!
kwenye mtihani...
alikuwa akimendea mashombeshombe wa watu huyu watu8Tanga wapi? Sio pangani lakini
Tanga wapi? Sio pangani lakini
Nyie ipo siku mtapigana makofi hahahaahhhh
Wakikufanya nini?mmmh!!! hata wao walikuwa wakinichuku...
Wakikufanya nini?
uwiiiiiii :msela:eboh!!...nimeganda kwani mmenitia jokofuni
lohhh eti wakikuchunuku!!!!si mparadiso....chunuku...watanga wote watakua washanielewa...
lohhh eti wakikuchunuku!!!!si mparadiso....