Namtafuta.....

Ha ha ha halafu wewe mi nimekwambia msambaa mbona mbishi kama ngiri....

Hivi 'ngiri' ndio kipimo cha ubishi eenh!!! haya Shemimi49 ​nimekuelewa...
 
Shemimi49 ndio nani?

si ndio jina lako la Kisambaa kama Shemndolwa (limetokana na jina Mndolwa), Shelukindo (limetokana na Lukindo)...

na wewe naanza kukuita Shemimi49...:becky:...ndio maana nakwambia wewe si Msambaa
 
Mpwa huyu mimi49 ni wale Wadigo wa Lamu na Mombasa, huwa wanaijiita Wagunya.

Mpwa ukitaka tafuta binti mrembo mrembo hebu usisite kutupia macho kwenye hii kabila...teh teh

Halafu na yale mambo yetu yale...wanayajua sana hawa...

Hahhah hapo kwenye urembo pana ukweli hahhahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha watu8 unaonaje ukawa mtabiri lol maaana.. .....

Ha ha ha!!! unajua nimeishi nao sana...wengi walikuwa ndugu zangu na marafiki zangu....kuna wakti nilikua naishi Raskazone (Tanga) kukawa na family friend wenye asili ya ushombe...maashallah sasa hao mabinti lol walikuwa hatari tupu mwenyewe nilikua naishia kuwaita wachumba tu!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…