Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
- Thread starter
-
- #21
huyu binti anasoma, yuko chuo kikuu mwaka wa kwanza
she is my best friend sana
namba yake ninayo na ninaonana naye mara kwa mara
naweza kukupa lakini mpaka nijue kwanza wewe ni nani kwa jina halisi halafu nimuulize na yeye (upendo) kama yuko radhi namba yake kugawiwa.
GS niPM ukijibu maswali hayo hapo juu
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawamaSijampata kwa kweli mpaka sasa.Hata mimi nashangaa kwanini wanaomfahamu wanamficha sana.Hebu niunganisheni tafadhali.
Yes I CanMmh Sipo nawasiwasi nawewe..unasema she is your best friend!can you prove it.
NGOJA SASA MIMI NIKUPE JINSI YA KUMPATA, .... Formula1 [good good? + $$! = <good good!>]
hata mimi namshangaa mgeni huyu je angewakuta watu wanatimiza ahadi yaoya ndoa je pasipo yeye kubisha hodi si atashushiwa kipigo balaahata salam mkuu!!!
hata mimi namshangaa mgeni huyu je angewakuta watu wanatimiza ahadi yaoya ndoa je pasipo yeye kubisha hodi si atashushiwa kipigo balaa
Ngoja PakaJimmy na MziziMkavu wamuone watamuita trespasser
hujambo lakini Preta, habari za Jumapili hapo A-Town?
Ni baraka kubwa hiyo Preta ila tu yasitokee ya Kilosa, MUNGU ni mwema hayawezi kutokea hayoIko pouwa......kamvua kananyesha ndio tunasubiri kakatike tukapande maharage
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawama
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawama
atakayetoa habari ya shemeji yangu humu atakiona!!! Wabongo hamchelewi.
he MKJJ kwani huyu ni shemeji yako
he MKJJ kwani huyu ni shemeji yako
Na atueleze vizuri ushemeji wao uko vipi!
halafu watu waje kuniwangia.. ?
Na atueleze vizuri ushemeji wao uko vipi!
hahahaha MM kumbe ni shemejio, sikujua Mkuu ila sio mbaya na siwezi kutoa info zake pasipo ridhaa yakeatakayetoa habari ya shemeji yangu humu atakiona!!! Wabongo hamchelewi.