Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus

Status
Not open for further replies.
huyu binti anasoma, yuko chuo kikuu mwaka wa kwanza
she is my best friend sana
namba yake ninayo na ninaonana naye mara kwa mara
naweza kukupa lakini mpaka nijue kwanza wewe ni nani kwa jina halisi halafu nimuulize na yeye (upendo) kama yuko radhi namba yake kugawiwa.
GS niPM ukijibu maswali hayo hapo juu

Mmh Sipo nawasiwasi nawewe..unasema she is your best friend!can you prove it.
 
Sijampata kwa kweli mpaka sasa.Hata mimi nashangaa kwanini wanaomfahamu wanamficha sana.Hebu niunganisheni tafadhali.
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawama
 
hata salam mkuu!!!
hata mimi namshangaa mgeni huyu je angewakuta watu wanatimiza ahadi yaoya ndoa je pasipo yeye kubisha hodi si atashushiwa kipigo balaa
Ngoja PakaJimmy na MziziMkavu wamuone watamuita trespasser

hujambo lakini Preta, habari za Jumapili hapo A-Town?
 
Iko pouwa......kamvua kananyesha ndio tunasubiri kakatike tukapande maharage
 
Ni baraka kubwa hiyo Preta ila tu yasitokee ya Kilosa, MUNGU ni mwema hayawezi kutokea hayo
haya jioni njema, ngoja sie tukapate maji makubwa hapo Obama's Pub
 
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawama

Nimeeleza tangu awali kwamba kuna kazi nataka kumpa..period!
 
Tatizo lako GS hujatoa sababu za kumtafuta halafu nimekwambia niPM lakini hutaki kufanya hivyo thats why siwezi kukupa namba ya simu ya binti wa watu halafu ukamshawishi ukala tunda then nikaingia kwenye mzigo wa lawama

Sipo hautaingia matatizoni kama watapeana tunda!!,cha maana tu wakubaliane,Pendo ni bint mkubwa sasa,anaweza mzimia GS!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom