Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Regia Mtema, Feb 1, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.

  Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.

  Asanete sana.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Feb 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  MTAFUTE MASOUD KIPANYA , PALE TBC atakuunganisha nae.
  ile usije kumfataki binti wa watu
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,469
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  She is my sister... Wasiliana nami kwenye PM na utakuwa umempata. She is also a JF member....!!!!
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  si vizuri kutoa contact za mtu , unless umewasiliana na Pendo mwenyewe , vilevile kama Pendo mwenyewe ni mwana JF siatasoma kisha ataamua kuchukua maamuzi juu ya kuwasiliana na Gender
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Where is she..na anafanya nini kwa sasa?
   
 6. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,469
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160

  Umewahi kufanya kazi ya ukatibu muhtasi nini? You know I can't do that.........!!
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Feb 1, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ni kweli gender, umejuaje? na ndio kazi yangu mpaka sasa....safii.
   
 8. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,469
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nimekwambia ni-PM!!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mazee kwanini usimPM wewe na kumhabarisha.......naona manashikiana manati!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,175
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  na inawezekana vilevile Pendo huyo akawa ndie masaki.....stuka
   
 11. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,469
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hapana, mimi ni HE...!!!
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,175
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  ........oooooh just to make sure ;)
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  MMMH!!  ni Masaki sio GS
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Feb 1, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Masaki naomba niPM tafadhali.
   
 15. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna ubaya gani na sisi wengine tukijua Upendo anafanya nn kwa sasa? Mnafanya siri hata vingine si vya kuficha i think she is a public figure ever since aliamua kuingia maisha p, hata mimi niko interested kujua nn anafanya kwa sasa!! Namba ya simu si vby mki-pmiana but hata gen info!!...Gender vipi ulimpata?
   
 16. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huyu binti anasoma, yuko chuo kikuu mwaka wa kwanza
  she is my best friend sana
  namba yake ninayo na ninaonana naye mara kwa mara
  naweza kukupa lakini mpaka nijue kwanza wewe ni nani kwa jina halisi halafu nimuulize na yeye (upendo) kama yuko radhi namba yake kugawiwa.
  GS niPM ukijibu maswali hayo hapo juu
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  haijui hata JF kwa taarifa yako
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Feb 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sijampata kwa kweli mpaka sasa.Hata mimi nashangaa kwanini wanaomfahamu wanamficha sana.Hebu niunganisheni tafadhali.
   
 19. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tumuamini nani jamani!au kuna mmoja wenu anajimegea.
   
 20. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  watu tuna heshima zetu bana ila hapa naji-refer mwenyewe as Sipo, sijui hao wengine
   
Thread Status:
Not open for further replies.
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...