Namtafuta Tunzo

Namtafuta Tunzo

Story kapige na sisimizi

Duuuuu.............! mkuu nahisi tatizo lako ni kubwa sana kuliko kawaida! Nimeshawahi kuongea nawewe kwa njia ya simu, you have a very serious problem ndugu yangu! Unavyo comment hivi na unavyoongea kwenye simu ni the same thing!

My sincere conclusion: Fanya ufanyavyo utafute tiba mkuu! Seriously unaumwa mkuu wangu!

MUNGU na akusaidie sana mkuu! Nakupa pole sana na kukuonea huruma mkuu!
 
Umempata maana naskia mara ya mwisho alionekana butimba uko
 
Duuuuu.............! mkuu nahisi tatizo lako ni kubwa sana kuliko kawaida! Nimeshawahi kuongea nawewe kwa njia ya simu, you have a very serious problem ndugu yangu! Unavyo comment hivi na unavyoongea kwenye simu ni the same thing!

My sincere conclusion: Fanya ufanyavyo utafute tiba mkuu! Seriously unaumwa mkuu wangu!

MUNGU na akusaidie sana mkuu! Nakupa pole sana na kukuonea huruma mkuu!

Thought disorder !!! Punguza substance !!!
 
Duuuuu.............! mkuu nahisi tatizo lako ni kubwa sana kuliko kawaida! Nimeshawahi kuongea nawewe kwa njia ya simu, you have a very serious problem ndugu yangu! Unavyo comment hivi na unavyoongea kwenye simu ni the same thing!

My sincere conclusion: Fanya ufanyavyo utafute tiba mkuu! Seriously unaumwa mkuu wangu!

MUNGU na akusaidie sana mkuu! Nakupa pole sana na kukuonea huruma mkuu!

Poverty of thought !!! Unatumia which substance
 
Mkuu UNDENIABLE hawa jamaa wana stress sana, bidhaa zao za kichina hazitoki ndio maana wanahamaki bila sababu, tumeshawazoea

Ndo mana umeambiwa shela yako tayari, wewe uliambia lazima uchanganye na kumpata pole mtoa mada Kama katapeliwa unajua alichonitaftia au unakurupuka,? Nahisi wewe ndo una stress acha kudandia tren kwa mbele,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom