Habari wana jf, nimemtafuta sana huyu dada yangu anaitwa Roina Ilomo, alimaliza Msalato Girls High School pale Dodoma miaka ya mwishoni mwa 90,sikumbuki mwaka, kwa mliopita Msalato masaada jamani, hata kama Roina unapitaga humu naomba uwasiliane na Erasto wa DSM, ni miaka mingi kidogo sasa hatujui ulipo wala taarifa zako; we miss u dada!