Namtafuta Roina Ilomo

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,872
1,200
Habari wana jf, nimemtafuta sana huyu dada yangu anaitwa Roina Ilomo, alimaliza Msalato Girls High School pale Dodoma miaka ya mwishoni mwa 90,sikumbuki mwaka, kwa mliopita Msalato masaada jamani, hata kama Roina unapitaga humu naomba uwasiliane na Erasto wa DSM, ni miaka mingi kidogo sasa hatujui ulipo wala taarifa zako; we miss u dada!
 
Watu8 nimejaribu kubofya uliponielekeza nikakutana na SECURITY CHECK right masage, nimekwama kuendelea so sijafanikiwa chochote, labda kuna namna nyingine ya kumpata sister please msaada tafadhali.
 
mbona wengine tumemuona!!!!
 
Last time nilikutana nae Kariakoo kwenye banda la Tigo (mbele ya shule ya Uhuru) ni muda kidogo ila I am sure maeneo ya kariakoo ndiko anafanyia kazi. Kama sijakosea ni mrefu ana mwili mkubwa.
 
Jiunge na facebook halafu mtafute huko...

Watu8 nimejaribu kubofya uliponielekeza nikakutana na SECURITY CHECK right masage, nimekwama kuendelea so sijafanikiwa chochote, labda kuna namna nyingine ya kumpata sister please msaada tafadhali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom