Meritta
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 1,303
- 292
we nae uporoto kakuachia??
Kafungiwa na Lizzy ..
mh hizi ni habar mpya japo hazijathibitiswa
we nae uporoto kakuachia??
Kafungiwa na Lizzy ..
Atakuwa amewapa kubwa wale wa imani nyingine....
Yuko Ban! Ila yuko na ID mingine
Maskini baba mchungaji kala ban, amefanyaje tena?
wale wa vipedo, ndizi na pilipili
Anakemea mapepo huko kwa baba mwanaasha.