Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 98
we nae uporoto kakuachia??
Knock! Knock!....Namtafuta Rev Masanilo...yeyote mwenye habari yake naomba tafadhali maana nimemtafuta kila kona nayojua simpati naambiwa he been missing for about a month now...I am so worried hata whatsapp haonekani that not him at all....
Yeyote mwenye Taarifa where about Reverend naomba tafadhali nitumie ujumbe kwa private...Maana nyumbani wameshaanza kuweka matanga..
kipindi cha kwaresma haingii jeiefu

Maskini baba mchungaji kala ban, amefanyaje tena?

Atakuwa amewapa kubwa wale wa imani nyingine....Nilimsihi sana asipige ukabu ilihali ni mchungaji sasa Mungu ameamua kumchapa bakora
Au kajipiga mwenyewe ban kipindi hiki cha "mfungo"??Nilimsihi sana asipige ukabu ilihali ni mchungaji sasa Mungu ameamua kumchapa bakora
Atakuwa amewapa kubwa wale wa imani nyingine....