Namtafuta rafiki yangu Jesca. Aliishi Ukonga

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,602
5,500
Habari zenu jamani,

Mie ni kijana nipo Dar namtafuta rafiki yangu ni Mwanamke anaitwa Jesca Mushi. Shule alimaliza mkoani Kilimanjaro kwenye miaka ya 2007 ama 2008 baada ya hapo alihamia Dar akawa anaishi maeneo ya Ukonga Mazizini walipanga maeneo hayo

Alikuwa anaishi na mama yake

Mwenye kujua mahali alipo naomba anitumie meseji. Tafadhalini sana nina shida nae kweli
 
maelezo yako hayajitoshelezi. eleza kiundani nje ya urafiki Kuna cha ziada? Huenda mimi ndo Jesca Jitambulishe sasa wewe unaitwa nani? Shule ya msingi ulisoma wapi? Ulimaliza mwaka gani na mara ya mwisho Tulionana wapi? Toka 2008 sijui Hadi leo ni kama miaka 10, Je! Kwa nini unitafute sasa? Lengo kuu la kunitafuta hasa ni nini? Ukijibu haya Maswali Utakuwa umempata Jesca.
 
Jesca mtafte mwenzio anaumia
 
Nakumbuka kipindi nikiwa kidato cha tatu,ilikuwa posta nilienda kutembea nikakutana nae uyo jesco akiwa ametokea mkoa wa kilimanjaro,alikuwa anaulizia chuo cha Ifm nikampeleka hadi pale kwani kipindi icho alikuwa anatafuta chuo,baada ya hapo tukawa tumezoeana nae akanifanya kama nduguye kwa hapa dar,zikapita siku kadhaa akaniomba tena nimpeleke kule tandika chuo cha Utalii,Baada ya hapo akanielekeza kwao uko Mazizini nikaenda kumtembelea na akanipatia vitabu vyake kwani nilikuwa form 3,basi baada ya hapo nikawa kama kaka yake wa hiari,baada ya hapo tukawa tunawasiliana ila namba yake nakumbuka nilikuwa nayo kuna sehemu niliisevu sasa juzi kati baada ya kupekuwa pekuwa docoment zangu ndio nikamkumbuka na ile namba yake nikiipiga haipatikani,ndio ivyo ila kumuuliza uku si kwa ubaya hata kama unamjua nitakupatia details zangu pm uweze kunielewa zaidi
 
Habari zenu jamani,mie ni kijana nipo dar,namtafuta rafiki yangu ni mwanamke anaitwa Jesca,Shule alimaliza mkoani Kilimanjaro kwenye miaka ya 2007 ama 2018 baada ya hapo alihamia Dar akawa anaishi maeneo ya Ukonga Mazizini walipanga maeneo hayo,alikuwa anaishi na mama yake,Mwenye kujua mahali alipo naomba anitumie meseji,Tafadhalini sana nina shida nae kweli
Hajapata kazi bado! Atakulipa tu lile deni
 
Hapana hata kama ameolewa kwangu hakuna madhara,nia yangu tu kumuona kwani ni miaka mingi sana
Kashaolewa tayari kwa sasa ni mke wa mtu.

Hivyo ni vyema ungetafuta tu mwanamke mwingine
 
Kashaolewa tayari kwa sasa ni mke wa mtu.

Hivyo ni vyema ungetafuta tu mwanamke mwingine
Kuolewa sio tatizo kwangu kwani nami nimeshaoa,kuna vitu alinisaidia kipindi nasoma kwaiyo nikaona sio mbaya nikimtafuta
 
Back
Top Bottom