Acha uboya wewe,Sio kwangu mie huyo mdada alikuwaga rafiki yangu tu na nilimchukulia kama dada yangu,nakumbuka siku niliyoonanan nae alinipatia material,na vitini vyake vyoke ambavyo vilinisaidia sana wakati nasomaHakunaga URAFIKI kati ya Mwanaume na Maanamke.
Yaani Mwanaume anatafuta tu opportunity amtafute uyo Rafiki.
Kuolewa sio tatizo kwangu kwani nami nimeshaoa,kuna vitu alinisaidia kipindi nasoma kwaiyo nikaona sio mbaya nikimtafuta
[/QUO
eroo..achana na wife wangu asee...
We mzee hebu tulia kabla sijakuvua nguo mchana kweupe saaizLione
Habari zenu jamani,
Mie ni kijana nipo Dar namtafuta rafiki yangu ni Mwanamke anaitwa Jesca Mushi. Shule alimaliza mkoani Kilimanjaro kwenye miaka ya 2007 ama 2008 baada ya hapo alihamia Dar akawa anaishi maeneo ya Ukonga Mazizini walipanga maeneo hayo
Alikuwa anaishi na mama yake
Mwenye kujua mahali alipo naomba anitumie meseji. Tafadhalini sana nina shida nae kweli
Nimempiga marufuku kumiliki smatphoneMtafute Facebook Mkuu!
HayaNimempiga marufuku kumiliki smatphone
Mxiuuuuu uanze tu, mi ntamwaga mbogaWe mzee hebu tulia kabla sijakuvua nguo mchana kweupe saaiz
Eeh haya haya bas mama yaishe [emoji119]Mxiuuuuu uanze tu, mi ntamwaga mboga
Nan huyoBaada ya PM kushindakana naona umejiongeza!