Namtafuta rafiki yangu huyu:

Namtafuta rafiki yangu huyu:

kayuguyugu

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
30
Reaction score
30
Wana Jf, nawaombeni kunisaidia kunitafutia rafiki yangu niliyepoteana naye toka 1998
anaitwa AWADH OMAR MFANGAVO
Kwa mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi posta na simu Dar es salaam.​
Anayeweza kujua habari zake plz nijulisheni kwani mm kwa sasa naishi ughaibuni,
 
Waulize makampuni ya simu watakwambia alipo Kama anatumia simu au tangaza maredioni wataku taftia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom