Namtafuta producer yeyote wa tamaduni

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,089
Mm Hip hop fan pia composer and raper. Natamani kufanya kazi na Duke,Palla,texas au ray teknohama. Nataka nirekod wimbo wa kusikiliza tu ghetto sio wa kupeleka redioni. Naomba kama wapo jf wani PM au watu wao wa karib kama wamo humu wani PM pi.
 
kama ni nyimbo za kusikiliza geto tu hata mimi naweza kukurekodia na ukajisikiliza mwenyewe, ila kwa ushauri tu, why utumie hela zako kurekodi wa kuskiza geto tu kutoka kwa hao uliowataja, wakati unaweza kuupeleka radio?
 
Mkuu unajua kuchana na kuandika kweli. Sio tunasumbuana tu kumbe punchlines zako ni

Napiga tik taka, na mademu kunitaka.

We acha tu, nilisikia mistari ya mpemba mi mwenyewe nilipiga salute, anakwambia:

Master J kaa chini nikupe skendo,
Karafuu zangu mwenyewe kuzisafirisha naambiwa magendo.

Halafu na ile rafudhi ya kipemba mi mwenyewe nilicheka.
 
kama ni nyimbo za kusikiliza geto tu hata mimi naweza kukurekodia na ukajisikiliza mwenyewe, ila kwa ushauri tu, why utumie hela zako kurekodi wa kuskiza geto tu kutoka kwa hao uliowataja, wakati unaweza kuupeleka radio?
Kupeleka redioni ni kuzinguana na watu tu.....huwa nataman nifanye ngoma kali ya ki-hardcore yenye mesej ya maana na chupa la kinyamwez ila walioshika remote ya mainstream ndio wachawi wa underground Hip hop genre ambayo ni pure based on social liberation.
 
Mkuu unajua kuchana na kuandika kweli. Sio tunasumbuana tu kumbe punchlines zako ni

Napiga tik taka, na mademu kunitaka.
Mkuu cyo tu najua kuchana... i just wanna bring revolution in lyrical,rhythimical and heavy messaged projec under Underground HIP HOP genre.....tumechoka na whac rapers
 
Mm Hip hop fan pia composer and raper. Natamani kufanya kazi na Duke,Palla,texas au ray teknohama. Nataka nirekod wimbo wa kusikiliza tu ghetto sio wa kupeleka redioni. Naomba kama wapo jf wani PM au watu wao wa karib kama wamo humu wani PM pi.
Mchek duke twitter anajibu af hao akina palla texas chukua email zao insta utawasiliana nao...

Ila ukisema wao waku pm wewe utangoja miaka ya kobe hawataku pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom