Ni rafiki nilepotezana nae mda kidogo. Mkazi wa Dar es Salaam maeneo ya magomeni, baba ake ni afsa upelelezi na alikua na dada yake anafundisha kila karakala girls morogoro na kwa bahati mbaya amepata uhamisho na ameamishiwa eneo jingine sasa kwa yeyote anae mjua au yeye mwenyewe ani PM km atakua ni member wa JF.