Wadau wa JF,
Naomba yeyote anayefahamu Mwalimu Rukia Ngadala anaweza kupatikana vipi ani PM na kunielekeza jinsi ya kumpata au hata kunipatia namba yake. Nina habari za manufaa kwake lakini nimeshindwa jinsi ya kumpata. Mara ya mwisho kuwasiliana naye alikuwa anafundisha Kibasila Secondary kabla ya kuhamia Tanga. Kwa sasa sijui huko Tanga anafundisha shule gani.
Natanguliza shukrani.
Tiba[/QUOTE we ni nani?

Mimi ni mtu niliye na taarifa muhimu kumhusu huyu Mwalimu na ningependa kumfikishia hii taarifa. Mimi ni raia mwema tu.
Tiba

mkuu bora ungejitambulisha kwanza ili unaemtafuta akujue otherwise utakesha
Mkuu sikufanikiwa kuiona hiyo website ya Wizara ya Elimu. Hivi kweli wana Website?

Hizi wizara ni kama viini macho katika utendaji wao wa kazi na ndo maana huwa wanakula pesa za mishahara hata kama wafanyakazi wao walishastaafu muda!! ni vigumu kuupata labda kama una ndugu pale tanga anaweza enda halmashauri au chama cha walimu watajua yuko wapi kwa sasa!!
ungepita kibasila hapo ndio ungeweza kupata taarifa...
Mkuu sikufanikiwa kuiona hiyo website ya Wizara ya Elimu. Hivi kweli wana Website?
Tiba
www.moec.go.tz ila sidhani kama utapata,
Wanayo, tena record za mwisho kuwa updated ni za mwaka 2007. Nadhani zitakusaidiaMkuu sikufanikiwa kuiona hiyo website ya Wizara ya Elimu. Hivi kweli wana Website?
Tiba