Namtafuta mtu anaitwa Ally Hamis Kilao

Joachimb

Member
Jul 23, 2017
62
63
Bwana Ally Hamis Kilao ni mkazi wa shinyanga. Aliniuzia kiwanja mwaka 2020 ila kwenye document hakuandika namba yake ya simu.

Kiwanja kimeleta shida kidogo na yeye ndiye mtu pekee anayeweza kunisaidia kutatua tatizo hilo. Naomba kama kuna mtu anamfahamu anisaidie mawasiliano yake.

Nitaambatanisha na picha yake ili kama kuna mtu anamfahamu anisaidie kuniunganisha naye.
Nitashukuru sana.
IMG_20220810_131959_492.jpg
 
Kwa nini ma-ai-tea wetu hapa Bongo wasingetu-codia app ambayo ukimtaka mtu yeyote, mathalani mama D , basi unaingiza jina lake au hata rangi na umri, then unapewa access ya namba zake zote za simu na mahali alipo in real time?

Nadhani hii ingerahisisha sana maendeleo nchini.

NB: Hiyo app iwe na kipengele-ulizo: Una ugomvi wowote dhidi ya mtu umtafutaye? If YES, palepale inaji-lock.
 
Kwa nini ma-ai-tea wetu hapa Bongo wasingetu-codia app ambayo ukimtaka mtu yeyote, mathalani mama D , basi unaingiza jina lake au hata rangi na umri, then unapewa access ya namba zake zote za simu?

Nadhani hii ingerahisisha sana maendeleo nchini.
Hii ingekua msaada sana,nimejaribu kwenda nida wakashindwa hata voda wameshindwa ,nimeona niwaangukie wana jamii forum maana hii ndo platform kubwa hapa nchini
 
Kwa nini ma-ai-tea wetu hapa Bongo wasingetu-codia app ambayo ukimtaka mtu yeyote, mathalani mama D , basi unaingiza jina lake au hata rangi na umri, then unapewa access ya namba zake zote za simu na mahali alipo in real time?

Nadhani hii ingerahisisha sana maendeleo nchini.
Privacy vipi ? na Je kila mtu anataka contacts zake zijulikane ?, Tatizo lipo hapo ingawa sio shida hata zamani enzi za simu za mezani kulikuwa na telephone book ambapo address zinaendana na jina na contact za mtu..., ila hata kama mwisho wa siku NIDA itaweza kuunganisha na contact bado huenda watu hawatataka their private number to be disclosed... (its more of a legal / personal issue rather than technical)
 
Suala la privacy mbona setilaiti za Wazungu zinatuchungulia deile kutoka angani? Ukishamiliki kitu kinaitwa ^smart-something,^ privacy yako inabaki kuwa nadharia na ndoto ya Alinacha.

Hukuona hata billionaire Jeff Bezos alivyofanyiwa?
 
Nami nilikuwa muoga sana wa viwanja. Na bahati mbaya nilipopata ujasiri nikanunua kiwanja miaka miwili baadae kikapata mgogoro ooh nikasema yaleyale niliyokuwa naogopa yamenipata
Jamaa acha wanangu wawili walikuwa waanze ujenzi sasa wapo kweny mgoy jamaa haelewi mtatizo tupu
 
Ok, namaliza kazi, nenda Ardhi Wana taarifa zote if kiwanja kilikuwa kimesajiriwa taarifa zote zitakuwa ktk file if no mchezo utakuwa mgumu
 
Back
Top Bottom