Namtafuta Mrs increase

upendo huanza kutokana na magum, kuna wadada wengi wanaolewa kutokana na hali zao za kimaisha kuwa ngumu sana, sasa hutafta egamio..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama basi mdada atanipenda at least yuko na shida na doo amna kabisa anionyeshe nia tuende njia moja ya kufanikiwa ili mmoja akiwa hayupo Leo au kesho familia hailali njaa wala kero ndogo ndogo.
 
Afu ukifocus kwenye malengo na kazi pesa wanayolilia automatically inakuja.
 
Ati sura yeyote hata kama sura kama tire ya trekta?😂😂😂😂 Nina mashaka na wewe kila la Kheri dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom