namtafuta mmu member awe mume wangu

Kuna mtu yuko hivo hivo ila sio mtanzania na haipendi Yanga (nadhani sababu haijui). Pia ni shabiki wa arsenal. Ila kwa mengine yote ni hivo kabisa. Nimesomesha thread yako, he looks interested.
Sharti lake yeye ni kwamba anataka mtu awe muaminifu na yeye aaminiwe pia. Hapendi kabisa kama uwe na na shaka, anasema inavunja trust maana unaamini zaidi hayo makaratasi kuliko yeye...
Yuko radhi msianze uhusiano wa kimapenzi ili upate wakati wa kumchunguza kwanza alafu kama bado unaendelea kua na shaka ndio akuletee makaratasi ya kuthibitisha.
Nilimuuliza pia kama kuna kitu anataka kujua toka kwako akasema hiyo ni kazi yake kukuomba, wala nisikuulize chochote on his behalf...
Vipi?
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
Fanya haraka ufe ili ummwahi mwenza mwenye sifa hizo ambaye hupatikana peponi na si katika dunia hii ambayo ni kama tambara bovu! Jilipue sasa unashangaa nini!!
 
Kuna mtu yuko hivo hivo ila sio mtanzania na haipendi Yanga (nadhani sababu haijui). Pia ni shabiki wa arsenal. Ila kwa mengine yote ni hivo kabisa. Nimesomesha thread yako, he looks interested.
Sharti lake yeye ni kwamba anataka mtu awe muaminifu na yeye aaminiwe pia. Hapendi kabisa kama uwe na na shaka, anasema inavunja trust maana unaamini zaidi hayo makaratasi kuliko yeye...
Yuko radhi msianze uhusiano wa kimapenzi ili upate wakati wa kumchunguza kwanza alafu kama bado unaendelea kua na shaka ndio akuletee makaratasi ya kuthibitisha.
Nilimuuliza pia kama kuna kitu anataka kujua toka kwako akasema hiyo ni kazi yake kukuomba, wala nisikuulize chochote on his behalf...
Vipi?
dah nikuulize kwanza ni raia wa wapi? maana kuna nchi na nchi mwenzangu loh?
 
Leo nimehuzuria kwa ujasiri kabisa. wamesema sina hata malaria halaf pia wamegundua nina DNA za ajabu sana, wamesema mtoto wangu wa kwanza kama hatokuwa rais basi at least atachezea barcelona
mmmh ulivomkimbia yule dokta siku ile? sijui kwanini ukutuwakilisha mbio za olymic ungetuletea gold nyingi sana hapa nchini loh?
 
Kuna mtu yuko hivo hivo ila sio mtanzania na haipendi Yanga (nadhani sababu haijui). Pia ni shabiki wa arsenal. Ila kwa mengine yote ni hivo kabisa. Nimesomesha thread yako, he looks interested.
Sharti lake yeye ni kwamba anataka mtu awe muaminifu na yeye aaminiwe pia. Hapendi kabisa kama uwe na na shaka, anasema inavunja trust maana unaamini zaidi hayo makaratasi kuliko yeye...
Yuko radhi msianze uhusiano wa kimapenzi ili upate wakati wa kumchunguza kwanza alafu kama bado unaendelea kua na shaka ndio akuletee makaratasi ya kuthibitisha.
Nilimuuliza pia kama kuna kitu anataka kujua toka kwako akasema hiyo ni kazi yake kukuomba, wala nisikuulize chochote on his behalf...
Vipi?

Bebii zaaali hilooo........
 
Back
Top Bottom