namtafuta mmu member awe mume wangu

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
 
Ahhhh sina hata moja hapo so siqualify
maana sura kama nimelipukiwa na baruti za beghazi, sina mvuto, sijiamini, navuta sigara pakti nane kwa siku, nakunywa crate tatu za bia tena the kick, sijabatizwa wala sijui kanisa lina sura gani, sijui nilizaliwa lini maana ahhh huko nilikozaliwa nakujua mwenyewe, mbumbumbu wa haja maana hata tv wala redio huwa sisikilizi so ni out dated ahhhh najiondoa hapo
 
Unajua mnaongea sana halafu mnasahau.....
mara unaye ambae unamuangalia kama atakufaa,
mara fulani ulimuona anakufaa
mara hutaki kutongozwa...
mara hivi.....mwisho watu hawatakuchukulia serious....
 
Hapo zamani za kale katika kijiji cha Gungulugwa kulifanyika uchaguzi wa kiongozi wa kijiji!
Sifa za kiongozi aliyetakiwa ni kama ifuatavyo:
-Awashinde wote kwa mali
-Awashinde wote kwa urefu
-Awashunde wote kwa weupe
-Awashinde wote kwa unene
-Awashinde wote kwa watoto
-Awashinde wote kwa uzuri
-Awashinde wote kwa tabia
Uchaguzi wa kijiji hicho ulishindikana, maana hawakuweza kumpata mtu mwenye sifa zote hizo!
Naifananisha hadithi hii na SIFA ZA HUYO MTARAJIWA WAKO!
 
Bebii my kid sis hua unanichanganya habari zako haziko consistent....

  1. Hujafanya mambo yale siku nyingi wala hutarajii...
  2. Hutaki kabisa wanaume...
  3. Hutaki kuolewa mana ni mateso...
  4. Mara una appointment na Bishanga (angekua mwingine ningekua sina wasi but Bishanga kazi ni moja)
Saizi unatafuta mchumba?? Niambie kid sis kama saizi upo serious...
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 300-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
Namba 11, umeniwekea kigezo kigumu kama alichowekewa Sita ili apate Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. maana mimi sina mvuto
 
Bebii my kid sis hua unanichanganya habari zako haziko consistent....
  1. Hujafanya mambo yale siku nyingi wala hutarajii...
  2. Hutaki kabisa wanaume...
  3. Hutaki kuolewa mana ni mateso...
  4. Mara una appointment na Bishanga (angekua mwingine ningekua sina wasi but Bishanga kazi ni moja)
Saizi unatafuta mchumba?? Niambie kid sis kama saizi upo serious...
nimeamua kufata ushauri wako dear sis wewe na member wengine nipeni tu huyo mtu nipo tayari sasa
 
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza

(A)sifa za nimtakae
1 awe mkiriso-aambatanishe cheti cha ubatizo komunio na kipaimara

2awe na miaka 30-34- aambatanishe birth certificate

3mtanzania- weka passport

4 awe HIV negative-cheti cha angaza pia tutaenda kupima tena

5 awe na maisha yanayoeleweka loh

6asiwe mlevi wala mvuta bangi,unga,au sigara-tutaenda hosp dokta asibitishe

7 awe anajiamini

8awe mpenzi wa simba na arsenal

9 asiwe amewai kuoa au kuolewaau kuacha ama kuachika

10 awe mjanja awe na upeo wa kujua mambo

11 awe na mvuto loh? sio sura kama umelipuliwa na baruti za bengazi loh

12 awe na moyo wa upendo ,ukweli,huruma,uvumilivu,utu wema na kusamehe

13 nitaendelea kesho

(b) sifa zangu nimechoka nakuja sasa hv subirini hapa hapa
Hapo kwenye Red ndiyo nimegundua kuwa UNAFANYA MZAHA KUJUMLISHA NA UTANI !!!!
 
Back
Top Bottom