kumbe upo ?
Ahsante kwa kunitag ndugu sio mimi .
Ndio nimefika๐kumbe upo ?
Ahsante kwa kunitag ndugu sio mimi .
Mimi ni mzaramo niliyechanganyika na wahaya .
Pia sina dada wa aliye kwenye mashirika ya kigeni.
Anyway nimesituka sana ulivyonitag maana niko natoka chumbani narudi sebleni mara dinning mara nje kwenye vimbweta sitaki hata mbwa wangu wanikaribie swaumu imekqza naona kama muda hausogei ni vile nimeapa kujikaza ramadhani hii ila kama sio hivyo ningekuwa nishadokoa zamani futari yangu
Hii ni AI ๐View attachment 3551204
Muda ukifika, ni humu tuu๐ค
'Kujikaza' ni kiswahili kitarafa mkuu, ukiondoa ulichomaanisha, hakifuti ile maana nyingine inayobakia, inayomaanisha 'kujichukulia sheria mkononi'.Ahsante kwa kunitag ndugu sio mimi .
Mimi ni mzaramo niliyechanganyika na wahaya .
Pia sina dada wa aliye kwenye mashirika ya kigeni.
Anyway nimesituka sana ulivyonitag maana niko natoka chumbani narudi sebleni mara dinning mara nje kwenye vimbweta sitaki hata mbwa wangu wanikaribie swaumu imekqza naona kama muda hausogei ni vile nimeapa kujikaza ramadhani hii ila kama sio hivyo ningekuwa nishadokoa zamani futari yangu
Yeah, baadhi ya watu, kwa mfano Dr am 4 real PhD, hawana noma kabisa.Dr. wa bei ya kulipa kidg kidg
Shida mwamba hakucomment ila alochukua mawasiliano.
In short jamaa hana njaa za kikapuku
Kaka nakuomba sana usiingie kwenye mumbo wa vijana wanaojichukulia sheria mkononi ,hakika nakuapia utakufa vibaya wale waache bado nguvu wanazo hivyo sio shida kama sisi .'Kujikaza' ni kiswahili kitarafa mkuu, ukiondoa ulichomaanisha, hakifuti ile maana nyingine inayobakia, inayomaanisha 'kujichukulia sheria mkononi'.