Namtafuta Mary Hunbig....

Namtafuta Mary Hunbig....

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
Salamu zenu wakuu,
husika na kichwa cha Thread hapo juu,
Huyu member bana amekuja siku sio nyingi ila ukweli ni kwamba kila nilipokua napita navutika kwake.
Duuh for the first time nimedondokea kwenye dimbwi la kwake. Nipo hoooii sijiwezi mwenzie.
Pliz mama wewe nipatie nafasi kwenye mtima wako. Madame B, Mr. Rocky, kaka ErickB52, embu nitafutieni huyu mtu. Mkimwona Mwambieni Nimemdondokea.
Nawasilisha.
 
Umeokoka maana haka kabinti kwa sunday school,halafu ijumaa ujiandae kuwa mnaenda kwenye mkesha,upo tayari?
 
Niambie mkuu mzima wewe?? Alafu mbona umeandika maandishi yasiyoleta maana? Au ni fumbo?

oi Nimestushwa na hii thread mzee umeamua na wewe kujitos kwa mary ila sidhani kama utafanikiwa kwani waday walimuwahi mapema sana siku alipojiunga,,, ila usikate tamaa.... Ritz nimesikia keshaliwa hadi sasa zaidi ya 2m na Demu kasema hamtaki
 
Last edited by a moderator:
Umeokoka maana haka kabinti kwa sunday school,halafu ijumaa ujiandae kuwa mnaenda kwenye mkesha,upo tayari?

nipo tayari baba yangu. Hivi umemwona? Umemwambia?
 
oi Nimestushwa na hii thread mzee umeamua na wewe kujitos kwa mary ila sidhani kama utafanikiwa kwani waday walimuwahi mapema sana siku alipojiunga,,, ila usikate tamaa.... Ritz nimesikia keshaliwa hadi sasa zaidi ya 2m na Demu kasema hamtaki

daaaaa unaniogopesha. Ila mi niko strong bhana nimesema nimesema.
 
Last edited by a moderator:
marry Hunbig amka uchungulie nje uone kuna mpenyo wako
 
Last edited by a moderator:
Salamu zenu wakuu,
husika na kichwa cha Thread hapo juu,
Huyu member bana amekuja siku sio nyingi ila ukweli ni kwamba kila nilipokua napita navutika kwake.
Duuh for the first time nimedondokea kwenye dimbwi la kwake. Nipo hoooii sijiwezi mwenzie.
Pliz mama wewe nipatie nafasi kwenye mtima wako. Madame B, Mr. Rocky, kaka ErickB52, embu nitafutieni huyu mtu. Mkimwona Mwambieni Nimemdondokea.
Nawasilisha.

Biblia inasema katika Wimbo ulio Bora 3:5-"Nawasihi enyi binti za Yerusalemu,
kwa paa na kwa ayala wa porini,
Msiyachochee mapenzi,wala kuyaamsha,
Hata yatakapoona vyema yenyewe".

Sasa,mie mapenzi bado hayajaona vyema,na sipo tayari kwa relationship kwa sasa.
Yatakapoona vyema,nitakufikiria.
 
Marry Hunbig naomba sikiliza kilio cha mtoto wa mwanamke mwenzio na uache siasa za kwenye baibo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu stevoh umeingia nyumba ya mlokole utambulia Aya tu hapo bora umtafuta Kongosho akupe maujanja
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom