Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na kuambiwa kuna JF member Anayekwenda kwa jina la Mama Big. Naskia ni mtaalamu wa kutoa stress za kichwa. Namtafuta sana anipe masage za stress.
Mama Big where are you. Someone looking for you!:A S-heart-2:
Mama Big yupo kwangu itabidi ufanye logistics akikubali nakuachia lakini you have to do some extra job kwasababu kuna vitu anavyopata huku
Ht mie namsaka sana! akitokea antafute kwnye no hz. 0713800800
Wa kunyumba hivi dada Sophy alijifungua?watu mnajua kujitoa mihanga
Wa kunyumba hivi dada Sophy alijifungua?
Btw naenda kwa 'faza Babu'.
ha ha....wakwetu da sophy alitupotelea ktk mazingira ya kutatanisha...na wenye habari zake wameuchubua
Duh...hivi leo ndio ile siku ya kushukuru eeh.....include me plz
ha ha haa shem upo ww??mbona long tyme kimya hivyo,usipotee bana some-tyme nirushie hata salamu kule kwa ujumbe binafsi:smile-big:Wa kunyumba hivi dada Sophy alijifungua?
Btw naenda kwa 'faza Babu'.
mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?Mkimpata niibieni kufuli lake nataka niliweke kwenye drawer yangu kazini niwe nanusa nusa nasikia kipapa chake kinanukia vizuuuuri sana
Mama Big yupo kwangu itabidi ufanye logistics akikubali nakuachia lakini you have to do some extra job kwasababu kuna vitu anavyopata huku
Bora hata umenitetea.The Finest hahahaha........ rule namba 3 bana ya ISC ....... hebu mtoe bana Mama Big na wenzako wam'sabahi'
Bado banaMnaomtafuta mama big mmempata?
Vipi petra, wengine sitaki nataka hawaziwezi :smile: wee laza damu tu ..:smile-big:watu mnajua kujitoa mihanga