Namtafuta Mama Big

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na kuambiwa kuna JF member Anayekwenda kwa jina la Mama Big. Naskia ni mtaalamu wa kutoa stress za kichwa. Namtafuta sana anipe masage za stress.
Mama Big where are you. Someone looking for you!:A S-heart-2:
 
Ht mie namsaka sana! akitokea antafute kwnye no hz. 0713800800
 
Mkimpata niibieni kufuli lake nataka niliweke kwenye drawer yangu kazini niwe nanusa nusa nasikia kipapa chake kinanukia vizuuuuri sana
 
Miye ndo namtaka zaidi. Mama Big honey ukipitia hapa niPM basi tulonge. Nimechooooooooooooka sana na sihasa za nji hii
 
Hello nimerudi baada ya kujipa bun ya siku tatu na ushee hivi. Nilikuwa na hasira za akina Kiravu na Makame wake. Well nasikia wana rais wao mpya sasa. Sitaki kuliongelea kwa sasa.
Nimerudi na kuambiwa kuna JF member Anayekwenda kwa jina la Mama Big. Naskia ni mtaalamu wa kutoa stress za kichwa. Namtafuta sana anipe masage za stress.
Mama Big where are you. Someone looking for you!:A S-heart-2:

Mama Big yupo kwangu itabidi ufanye logistics akikubali nakuachia lakini you have to do some extra job kwasababu kuna vitu anavyopata huku
 
vp anatoa hiyo . yake maana mi nimpenzi sana wa .
 
The finest huyo uliyenaye fake mamabig wa jf ninye na tumeenda vocation gombe karibu kama unajua kuongea na chimpanzee!kwani ndo walinzi!halafu wewe siunaye preta?au wewe nikutoa dozi mpwa sema!
 
Wa kunyumba hivi dada Sophy alijifungua?
Btw naenda kwa 'faza Babu'.

ha ha....wakwetu da sophy alitupotelea ktk mazingira ya kutatanisha...na wenye habari zake wameuchubua
Duh...hivi leo ndio ile siku ya kushukuru eeh.....include me plz
 
Basi nimeona mama big anatafutwa nikajua ndo da sophy kapanda cheo.
Eeeh mae ndo leo, u inclusivw ofcoz
 
The Finest hahahaha........ rule namba 3 bana ya ISC ....... hebu mtoe bana Mama Big na wenzako wam'sabahi'
 
Wa kunyumba hivi dada Sophy alijifungua?
Btw naenda kwa 'faza Babu'.
ha ha haa shem upo ww??mbona long tyme kimya hivyo,usipotee bana some-tyme nirushie hata salamu kule kwa ujumbe binafsi:smile-big:
 
Mkimpata niibieni kufuli lake nataka niliweke kwenye drawer yangu kazini niwe nanusa nusa nasikia kipapa chake kinanukia vizuuuuri sana
mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?
mhh natamani ungemwambia wakat mpo face to face maneno haya sijui ugepewa majibu gan wewe dah!!!
ronga longa vyema na finest atakupa njia ya kumpata mama bg....BIGIRITA UPO?umeskia i maneno?pole
 
QUOTE=Rose1980;1233682]mweee mweee jaman.......kinanukia siyo?
mhh natamani ungemwambia wakat mpo face to face maneno haya sijui ugepewa majibu gan wewe dah!!!
ronga longa vyema na finest atakupa njia ya kumpata mama bg....BIGIRITA UPO?umeskia i maneno?pole[/QUOTE]

bigirita na mama big tena! jamaa alinipiga mkwara kwa preta
yaani ile day one naingia jamvini hahahaha kumbe na yeye
mharibifu tuu! ngoja nirudi kwa preta mie, preta upoooo :wave:[
 
Mama Big yupo kwangu itabidi ufanye logistics akikubali nakuachia lakini you have to do some extra job kwasababu kuna vitu anavyopata huku

Kama sio ile ya tiGo basi mzee nyingine naziweza. Nilete ngombe ngapi mangi unachie?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom