Namtafuta Linda

Namtafuta Linda

Wakuu umuofia kwenu,

Kuna dada alikuwa anasoma Mwl Nyerere baadae akaenda Ujerumani namtafuta sana mwenye kujua mawasiliano naomba msaada,

Pangu Pakavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una rafiki yako ambaye anafanya kazi pale sayansi kijitonyama au mwembe jini, ukimuulizia kwa jina la kizungu hutampata. Ukimuulizia mama fulani pia hutampata. Utampata kwa kuulizia jina la ukoo.

Narudi tena. Jina la ukoo.

Angalizo: Asije akawa ni mke wa mtu tayari ukaleta songombingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko northrhine westfalia German nilionana nae mwezi wa kwenye function moja iliyojumuisha wabongo na wakamerun
 
Back
Top Bottom