OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
mmh, wewe unatafuta mlezi! una umri wa miaka 27, unataka mke mwenye miaka 40? unatafuta wa kukulipia masters hehehe!
OLESAIDIMU, unanitafutia nini maneno kwa paw na nnapelekwa brazil mwenzio kuangalia kombe la mbuzi?
Ha ha haaaa anakuona kama Melinda foundation!!!!!!!
Dogo anakalia waya live safari iingie chenga!!!!
Last edited by a moderator: